J jumanne kiluly Member Jul 9, 2016 13 1 Jul 11, 2016 #1 Jamani nataka kusoma dploma ya sheria vp ni fucult nzurii
Mdau JF-Expert Member Mar 29, 2008 1,789 473 Jul 11, 2016 #2 Toroka aisee...wanasheria wakikuta uandishi huu wanakufunga. Ila kwa ushauri ungeenda chuo cha nyuki Tabora, wana diploma pia.
Toroka aisee...wanasheria wakikuta uandishi huu wanakufunga. Ila kwa ushauri ungeenda chuo cha nyuki Tabora, wana diploma pia.
Amoxlin JF-Expert Member May 30, 2016 3,782 4,108 Jul 11, 2016 #3 Mwaka gani maana muda wa application umeisha.
J jumanne kiluly Member Jul 9, 2016 13 1 Jul 11, 2016 Thread starter #4 Naenda open university wanapokea
radhaki Member May 16, 2013 55 26 Jul 23, 2016 #5 Ni faculty nzuri sana, jenga urafiki mzuri na vitabu vya sheria, majarida,nakala mbalimbali za kisheria....mambo utayaona mazuri sana..
Ni faculty nzuri sana, jenga urafiki mzuri na vitabu vya sheria, majarida,nakala mbalimbali za kisheria....mambo utayaona mazuri sana..