samsun
JF-Expert Member
- Feb 9, 2014
- 7,386
- 5,962
Habari wakuu.
Kumbe sheria ni ujanja ujanja sio haki inayokufanya ushinde.Si ajabu ukiwa na kesi ukaambiwa hii kesi yako ukimpata mwanasheria mzuri unashinda,utajiuliza kwa nini hadi niwe na mwanasheria mzuri ndio nishinde kuna siri gani kwenye sheria ???? Utashindwa kisheria halafu atatokea mtu atakushauri hebu ngoja nikutafutie mwanasheria fulani lazima utashinda na kweli ukikata rufaa unashinda,unabaki kushangaa kipi ni kipi kwenye sheria ......... Kumbe sheria ni ujanja ujanja na si haki ya mwenye kustahili, wajuzi hebu tupeni siri ya mchezo.