Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

On JF:

Hukumu ilisema Hakukusudia kuua! Mabomu ya machozi sheria yeke inasema huwa unapiga umbali gani toka kwenye target (for that matter waandamanaji) ? Yeye alikuwa umbali gani? Na nini kilimfanya...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Habari wana JamiiForum! Nina huzuni kubwa sana kwani baba yangu mzazi amekamatwa na police wakishirikiana na askari wa TANAPA na kuwekwa ndani zaidi ya wiki sasa bila ya maelezo yoyote yale ya...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Habari ndugu zangu, nahitaji kujua kuhusu kesi ya mauaji mfano watuhumiwa wa kesi ya mauaji wako wawili au zaidi. Inawezekana hukumu zinatofautiana, au wote watahukumiwa kifungo Sawa?
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Naitaji kufahamu juu ya hukumu ya dereva aliyemgonga mtu na kumpotezea maisha?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Hivi kwa mfano mheshimiwa Tundu Lisu alivyotoa dhamana ya shilingi milioni kumi. Hiyo pesa ndo ishapotea au inakuwaje.??? Msaaada please
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Wadau mimi naishi na mtoto wa dada yangu, kwasababu dada yangu hana uwezo nilichukua jukumu la kumsomesha huyu mtoto, kwasasa yupo form four, jana kafukuzwa shule baada ya kugundulika ni mjamzito...
0 Reactions
27 Replies
12K Views
Ikiwa postmortem inarudiwa baada ya marehemu kuzikwa, Je nani anapaswa kushiriki? Na haki ya ndugu wa marehemu ni zipi ili kuhakikisha ukweli Wote kuhusu kifo cha marehemu una julikana?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ni mke wa kaka yangu amekuwa akifundisha shule ya sekondari Mgulasi,iliyopo manispaa ya Morogoro. Shemeji yangu huyu pamoja na kuwa wako 2 tu wanaofundisha fizikia shuleni kwao,lakini Mkuu wake...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
  • Closed
MAHAKAMA Kuu Kitengo cha Biashara imeamuru Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP, Reginald Mengi afike mahakamani kujieleza kwa nini asifungwe gerezani kwa kushindwa kutekeleza hukumu inayohusu...
0 Reactions
32 Replies
8K Views
UMEWAHI KUKAMATWA NA POLISI BARABARANI? Je, umewahi kukamatwa na polisi wakati ukiendesha gari, pikipiki au baiskeli? zijue haki na wajibu wako ! Bila kufuata sheria na kanuni za usalama...
2 Reactions
26 Replies
44K Views
Wadau wa sheria msaada tafadhari.kuna huu utaratibu wa wakurugenzi kulipia gharama za masomo kwa watumishi walio makazini.Gharama za malipo zinatofautiana tofautiana kutoka Halmashauri Moja hadi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hamjamboni nyote wanajamii wenzangu? Kwa nia njema kabisa naomba kuekeweshwa kuhusu mzamana. Je, baada ya mtu kuwekewa mzamana (pesa) mwisho wa kesi fedha hizo hurudishwa kwa mhusika? Kuuliza...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mimi ni mtumishi katika idara ya elimu Bagamoyo. Nilikwenda kusoma baada ya kukataliwa releasing letter, mshahara umezuiwa kwa muda mrefu, niko kazini still mshahara wangu umezuiwa. Naombeni...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Naomba kuuliza je kisheria inakuwaje Kama mwajiriwa ambaye Hana mkataba akaamua kuacha kazi bila kutoa notisi ya mwezi mmoja kabla ya Siku ambayo ameacha laziness, 1. Je Mwajiriwa atawajibika...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Askari Polisi anaweza kuwa shahidi wa askari mwenzake kwa shtaka la kumzuia kutimiza majukumu yake ya kikazi.
0 Reactions
0 Replies
633 Views
Mwaka Jana nilienda sehemu kununua shamba la kulima mpunga hvyo nilipofika nikaonyeshwa shamba nikawa nimelipenda ila Bahati mbaya mwenye shamba hakuwepo alikuwepo mtoto wake,niluamua kuacha kiasi...
0 Reactions
1 Replies
915 Views
Naomba msaada kujua kama mtu (Mdai) au mwakilishi wake kisheria anaweza pata nafasi ya kusimama na kumwambia jaji Mahakama kuu kuwa anataka kuiondoa yake ya madai , siku ya mention. Kwani...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
  • Closed
Kutana na Dola Indidis, mwanasheria aliyeishtaki Israel kwa kumuua Yesu). nadai hakuipeleka kesi mahakamani kwa misingi ya kidini bali kwa misingi ya Kisheria. Anasema "Its academic thing not a...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari Wakuu! Kauli za uchochezi ni zipi?? Naomba niainishiwe ili nisiingie kwenye mikono ya dola.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
kuna jamaa alinimbia anauza magari kwa kukopesha, ila natakiwa nimpatie advance ya laki 5.... nikampatia pesa na ajanipa gari mpaka leo, je naweza kwenda kumfungulia kesi na bahati mbaya...
0 Reactions
1 Replies
740 Views
Back
Top Bottom