Law course

UDSM, chuo ni kimoja Tanzania!
CHUAKACHARA acha ushamba. Mwambie kwanza aseme ni level gani ya course anataka ndipo uanze kutoa povu lako.
Nani kakudanganya chuo ni kimoja tanzania? Hayo ni mawazo mgando. Mimi ni alumni wa UDSM bachelor hadi masters lakini bado naamini kuna vyuo vingi tu vizuri tanzania kama Mzumbe, Sokoine, OUT, MUHAS, St. Augustine n.k.
 
Sawa bwan! Umenitukana. level yoyote! Uko chuo gani? Mimi sitakutukana ; MUHAS hawana law course of any level.
 
Kama una uwezo mzuri wa kifedha law school nzuri kwa sasa ni ya Bagamoyo University.
Maprofesa na madokata wengi wa sheria toka UDSM na vyuo vingine wanafundisha pale.
Wanajitahidi kwa kweli, hata wanafunzi wao wakija field utaona utofauti wao kabisa na wengine.
Nawapenda sana wale madogo wanazoezwa kusoma sana vitabu kitu ambacho vyuo vingi hawafanyi.
Ada mwaka jana ilikuwa Million 4, hebu tafuta Manual TCU uone sasa hivi itakuwa ni kiasi gani.

Trisher Jennifer
 
Okay thanks
 
Kweli upande wa Sheria na taaluma nying zingne,UDSM wako vizuri.Wanaosema TUMAINI,wanapotosha labda SAUT.TUMAINI wanapokea wanafunzı wenye sifa hafifu sana ı.e EEE, anadahiliwa Law?Never UD.
 
Back
Top Bottom