Mm ni mtumishi wa serikali. Kuna mtumishi mwenzangu ambaye tunafanyanaye kazi kituo kimoja. Ametamka wazi kuwa atakuja kunilisha sumu, japo hakuniambia mm moja kwa moja ila ushahidi upo. Je naweza kumshtaki?
Duh..! Chukua hatua baada ya kufa.Kesi ya moja kwa moja hii, si unasema ushahidi upo? Unasubiri nini kujongea Polisi?
.ushahidi uliopo Ni wa namna gani?Mm ni mtumishi wa serikali. Kuna mtumishi mwenzangu ambaye tunafanyanaye kazi kituo kimoja. Ametamka wazi kuwa atakuja kunilisha sumu, japo hakuniambia mm moja kwa moja ila ushahidi upo.