kaisiki kalungi
Member
- Aug 4, 2015
- 46
- 45
Habari wanajamvi
Mimi ni mfanyakazi katika kampuni binafsi(sio kubwa) kwa takribani miaka mitatu now
Nmeona nirudi shule na mwajiri wangu amekubali na kuahidi kunilipia ada na kunilipa mshahara nusu ntakapokua masomoni(sina hakika sana na maneno yake) Mi nmejipanga mwenyewe incase akizingua
Swali langu ni
je sheria za kazi zinalinda ajira yangu?

- Sheria inasemaje kuhusu mwajiriwa kusomeshwa na kampuni(mwajiri)?
- Je uhakika wa kazi yangu ukoje(kama nlivosema kampuni ni ndogo) nkiondoka itawabidi waweke mtu mwingine
- Mkataba wangu unaisha September naanza shule October