Sheria inasemaje kwa mtu alie dhurumiwa kwenye Michezo ya Bahati nasibu (Kamari/betting)


Simbajr

Simbajr

Senior Member
Joined
Apr 1, 2010
Messages
188
Likes
12
Points
35
Simbajr

Simbajr

Senior Member
Joined Apr 1, 2010
188 12 35
Ndugu zangu wataalam wa sheria naomba ufafanuzi wa kisheria kuhusu betting /Kamari au bahati nasibu.
1. Katiba ya nchi ina ruhusu hii michezo?
2.Je ikitokea tatizo let's say umedhurumiwa kwa namna moja ama ingine sheria ina mlindaje mchezaji (final consumer)?
3. Haki za mchezaji wa Kamari ni zipi.. Maana najua Kamari inatambulika ndio maana inachezwa kwenye ma cassino mbali mbali nchini chini ya usimamizi wa balaza la bahati nasibu la taifa.
4.NAOMBA KUWASILISHA
 
mandella

mandella

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2011
Messages
2,866
Likes
2,202
Points
280
mandella

mandella

JF-Expert Member
Joined Oct 29, 2011
2,866 2,202 280
Umeshadhulumiwa au unataka kujua ili uanze Kubet .
 
Philipo D. Ruzige

Philipo D. Ruzige

Verified Member
Joined
Sep 25, 2015
Messages
5,339
Likes
6,781
Points
280
Philipo D. Ruzige

Philipo D. Ruzige

Verified Member
Joined Sep 25, 2015
5,339 6,781 280
Ha ha ha.. Soon makonda atatoa tamko la kufungiwa hio michezo ya kubet...
 
Mustaphagentleman

Mustaphagentleman

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2016
Messages
4,004
Likes
2,914
Points
280
Mustaphagentleman

Mustaphagentleman

JF-Expert Member
Joined Jun 22, 2016
4,004 2,914 280
Me ndo mana huwa siwekagi hizo me naweka cash na MTU naemjua tunaweka mfano 20,000 so team ikishinda nachukua 40,000 safi
 
principled man

principled man

Member
Joined
Jul 7, 2016
Messages
49
Likes
43
Points
25
principled man

principled man

Member
Joined Jul 7, 2016
49 43 25
Wayafungie makampuni ya mawasiliano maaana yanaensesha kamari na kuwaibia watanzania
 
K

kolongotitu

Senior Member
Joined
May 29, 2013
Messages
140
Likes
37
Points
45
K

kolongotitu

Senior Member
Joined May 29, 2013
140 37 45
nimeanza kubet mwaka 2013 nimeshinda mara nyingi sana sijawahi dhurumiwa pesa @serikalu nayo inatambua mchezo wa huu wa bahati na sibu thus why wanakata kodi kwa18%
 
jaji mfawidhi

jaji mfawidhi

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2016
Messages
4,031
Likes
3,169
Points
280
jaji mfawidhi

jaji mfawidhi

JF-Expert Member
Joined Feb 20, 2016
4,031 3,169 280
Hamna namna,Hii michezo ni halali na ina sheria zake.

Kamari ndio hairuhusiwi hapa Tanzania.
Wale wanaokaa mnazi mmoja na pale kaRume kuchezesha kamari si halali.

Serikali iwakamate na kuwaleta kwetu tuwasgughulikie
 
pilato93

pilato93

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2014
Messages
3,287
Likes
1,945
Points
280
pilato93

pilato93

JF-Expert Member
Joined Jun 28, 2014
3,287 1,945 280
Nenda gaming board Samora street ghorofa ya tatu harbour viwe kila kitu kipo pale kuhusu betting
 
fortunate_goustone

fortunate_goustone

Senior Member
Joined
May 5, 2013
Messages
106
Likes
9
Points
35
fortunate_goustone

fortunate_goustone

Senior Member
Joined May 5, 2013
106 9 35
Ndugu zangu wataalam wa sheria naomba ufafanuzi wa kisheria kuhusu betting /Kamari au bahati nasibu.
1. Katiba ya nchi ina ruhusu hii michezo?
2.Je ikitokea tatizo let's say umedhurumiwa kwa namna moja ama ingine sheria ina mlindaje mchezaji (final consumer)?
3. Haki za mchezaji wa Kamari ni zipi.. Maana najua Kamari inatambulika ndio maana inachezwa kwenye ma cassino mbali mbali nchini chini ya usimamizi wa balaza la bahati nasibu la taifa.
4.NAOMBA KUWASILISHA
Nafikir hujui sheria... Tembea na vifungu vya sheria wanaelewa. Meridianbet.co.tz walishanielewa siku moja
 
Miss ferrar

Miss ferrar

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2016
Messages
200
Likes
163
Points
60
Miss ferrar

Miss ferrar

JF-Expert Member
Joined Apr 7, 2016
200 163 60
Kasome gaming Act itakujibu maswal yako
 

Forum statistics

Threads 1,238,807
Members 476,185
Posts 29,331,442