Kranium
Senior Member
- Oct 20, 2014
- 130
- 374
Salaam wadau!
Yapata miaka miwili sasa tangu nifungue mashtaka CMA dhidi ya kampuni fulani ya hapa jijini Dar (jina kapuni).
Kampuni ilisitisha mkataba wangu wa miaka 2 due to redunducy ambayo haikuspecify termination reason.
Madai yalisikilizwa na kampuni ilipoambiwa tufanye mediation ilikaidi hivyo kesi ikaendelea mpaka kufikia kwenye arbitration.
Kwa hio hukum imekuwa ikipigwa danadana tu toka mwezi wa pili mwaka huu mpaka leo hii....kila nikimuuliza wakili wangu kuhusu hukum itatolewa lini amekuwa akiniambia nivute subira coz hakim hatakiwi kuharakishwa nisubiri mpaka atakapoamua...nilishawahi kumfata hakim kumuuliza kwa nn hukum inachelewa akaniambia sababu kibao mara "ohh nilikuwa likizo" mara "ooh nilikua nafanya mitihani" na kuna kipindi aliniambia kuwa wakati yuko likizo faili langu lilipelekwa kwa hakim mwingine hivyo tangu arejee toka likizo hajalipata hivyo akasema nimpe muda alifuatilie akanihakikishia pindi atakapolipata atatoa hukum ndani ya wiki 2....mpaka leo hii yuko kimya na wakili wangu hanipi ushirikiano wa kutosha.
Nifanye nini ili hukum itolewe mapema? Nipeni mwongozo wadau.....