Habari wanajanvi! Naomba kujuzwa. Je, Kuna sheria yoyote ambayo inamlinda mfanyakazi ambaye hajapewa mkataba na amefanyakazi mwaka mmoja na nusu ikitokea amesimamishwa Kazi Mara moja?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.