Naombeni Msaada Wa Kisheria

Nsele

Member
Dec 7, 2013
80
8
Dawa Ya Deni Ni Kulipa!,jamani Naombeni Msaada Wa Kisheria Kuna Jamaa Alinikopesha Hela Ya Riba Laki Nne400000 Ambapo Nilitakiwa Nimlipe Laki Sita,nilikubali Coz Nilikuwa Na Matatizo Nimemlipa Laki Nne Tayari,laki Mbili Bado Coz Mambo Yangu Saiz Hayako Poa Lkn Jamaa Ananisumbua Kila Tukikutana Ananinyang'anya Vitu Mpaka Leo Kanipoka Baiskel Na Simu Mbili Tecno L8 Na Itel Ndogo,nikategemea Tumemalizana Lkn Leo Kanivua Viatu Mbele Ya Watu ,nimejisikia Vibaya,naombeni Msaada Wa Kisheria Coz Nimechoka Kwa Tabia Anazonifanyia,nifanyaje Wadau
 
Ulienda kustate kituo cha police? Naje wakat wakukopana mliandikishiana mbele yaushahid au mlikopana kisela
 
Chamsingi heshim makubaliano yenu yeye wakati anakupa hiyo pesa sio kwamba hakuwa kakitu cha kuizungushia ila alikupa kukusaidia ilisiku ukimlipa nayeye hako kariba kamsaidie
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom