Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
wakuu naombeni msaada wa kisheria kwa hiki kitu nilichoulizwa na mwanafunzi wangu ktk somo la URAIA, ni hivi sheria inasemaje kwa mama mzazi anapohukumiwa kifungo cha jela na wakati huo mama huyo...
Ni kwa jinsi gani watu hawa wafuatao wanavyoweza kupata haki zao kutokana na maamuzi ya kukurupuka ya serikali hii'Tangu serikali ilivyoamua kubadilisha sifa za kujiunga chuo kikuu kupitia TCU...
Kwa wenye kujua mambo haya ya kodi wanisaidie,je kwa mfanyakazi kibarua yaani part time ambaye anatakiwa alipwe kwa lisaa mara baada ya kazi ni sawa kukatwa kodi?
ngoja nitoe maelezo kidogo...
Kwa wanaojua sheria hebu nijuzeni umekamatwa kwa kosa la jinai ukawekwa Mahabusu asubuhi unakabidhiwa fagio ufagie eneo la nje la kituo cha polisi je ni sahihi kufanyishwa kazi hiyo?
A criminal code is a document which compiles all, or a significant amount of, a particular jurisdiction's offenses. Typically a penal code or a criminal code will contain offences which are...
Kuna mfanyakazi wa Kampuni ya Sukari Kilombero alisimamishwa kazi,,,,,kwa madai eti alipost taarifa ya kampuni kwny mtandao bila kibali.
Ni kwamba kulikuwa na mvutano Wa nyongeza ya mshahara...
Tanganyika Law Society (TLS)
Nyie wenyewe mnalalamika kuwa Law firms zinawachaji wateja wake kwa USD na mna discourage hiyo, mbona kwenye fees zenu mnaendelea ku encourage matumizi ya USD...
Wakuu habari zenu?? Tafadhili kwa maenyeuelewa wa masuala ya sheria naomba mwongozo hivi kesi ubakaji na ulawiti je inadhamana..?
Mfano mtuhumiwa amekamatwa kwa tuhuma za kumbaka na kumlawiti...
Kuna mchezo nimegundua kuwa nafanyiwa na Kampuni fulani ya simu kwa kunikata pesa zangu bila ridhaa yangu ile airtime, ukiwapigia wanasema kuwa ulijiunga na huduma hizi. Nimewalalamikia mara...
Habari zenu?
Tafadhali mnisaidie. Mwanamke fulani huku Zanzibar anayejaribu kunitapeli alifungua kesi ya madai, lakini alishindwa kupinga majibu yangu na hati zangu, kwa hiyo alisema mahakamani...
Nataka kupata nafasi ya kuingia magereza (yoyote) ili niongee mawili matatu na wafungwa na kupublish mahojiano hayo, je ni hatua zipi za kisheria natakiwa kufuata ili kuwa na uhalali wa kufanya...
Kuna Shangazi alikuwa anaishi nje ya nchi ya Mume wake walifanikiwa kupata mtoto mmoja ambaye sasa ana miaka mitatu
Mwaka jana mmewe akaamua kurejea Tanzania na uyo kwa makubaliano ya kwamba mtoto...
Watu tuliowekeza kwenye biashara ya daladala tunakumbana na shida nyingi sana.
Utasikia dereva anakupigia simu eti gari imekamatwa na imepelekwa kituoni halafu huyo dereva aliyefanya hilo kosa...
Mimi sio mwanasheria ila sidhani kama unaweza kumfungulia mtu kesi kwa kosa la kusema Mungu anaweza kuchukua maisha ya mtu fulani.
Kwa mfano,nikisema hadharani, "Mungu chukua maisha ya mtu...
Nakumbuka wakati wa Kikwete waliteuliwa majaji wengi kwa mkupuo kupunguza uhaba wa majaji. Watu walihoji sifa za hao majaji kupewa nafasi hizo kama wana sifa stahili. Kama kawaida, umwamba wa JK...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.