Naomba msaada wa kufahamu

mfuga kuku

JF-Expert Member
Jul 14, 2014
398
250
Habarini wadau,
Awali nilishtakiwa kwa uvamizi wa eneo la mtu ambalo nami niliuziwa, nikashinda kesi baraza la ardhi nyumba na makazi ngazi ya kata, niliemshinda akakata rufaa, baraza la wilaya, huko akashinda yeye, akanifungulia madai ya kuendesha kesi, bill of cost, kwa bahati nami nikashinda na sikutakiwa kumlipa chochote kwa maana aliwasilisha nje ya muda uliokusudiwa, akaomba kesi ipitiwe upya na maamuzi yatolewe tena, kweli kesi ikaanza upya, bahati nzuri nikashinda tena, bado maamuzi yalibaki kuwa yale yale.

swali langu.
Je sheria inaniruhusu nami kumdai? kutokana na ushindi wangu huo? nifungueni macho mimi ktk sheria sijui kitu naenda mungu nisaidie.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom