Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

JF Prefixes:

Kuna siku niliwahi kusimamishwa na polisi wa defender wasio na uniform na kuitaka niwaoneshe leseni yangu. Nikawaonesha ila bado wakaniambia kuwa pamoja na kwamba nina leseni niwaachie hela kidogo...
1 Reactions
26 Replies
14K Views
Kanisa Katoliki limeandaa mpango wa kukomesha uvaaji mbovu unaokwenda kinyume na maadili ikiwamo kuvaa vimini, nguo za kunyanyua matiti na milegezo kanisani baada ya kutangaza kuwavisha vazi la...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Ahsante kwa kufungua hii mail. Nimatumaini yangu utapata muda wa kunisikiliza na kuguswa kiasi cha kunishauri haraka iwezekanavyo kwani hali ni mbaya... Nalazimika kuanza kwa maelezo yafuatayo...
0 Reactions
36 Replies
3K Views
naomba ushauri nifanyaje mimi na jirani zangu ,kuna ukumbi wa muziki anaitwa ACTIVE CLUB hupo mbauda. kata ya sombetini Arusha mjini ,wana piga muziki kelele zinatoka nje ya ukumbi jirani atulali...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari wanaJF ni matumaini yangu hamjambo. Tafadhali naombeni msaada wenu.Nina mdogo wangu ana umri wa miaka 11 na miezi kama 8 hivi yuko darasa la 6 ametuhumiwa kesi ya kulawiti mtoto wa jirani...
0 Reactions
11 Replies
5K Views
Rasna kanyambua vizuri kwanini umalaya (biashara ya kujiuza mwili/ngono) ihalalishwe Kenya- kwa mtizamo mpana wa jinsia na uhalisia uliobeba historia, uhalali wa biashara hiyo nchi zingine, na...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Wapendwa naomba ufafanuzi juu ya kigungu cha 61 na 71 vya Employment and labour relations. Naona kama vinagongana. Kimoja kinaruhusu mtu kuzuia kukatwa mshahara wake na kingine kinalazimisha hata...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
naomba mtu yoyote anayemjua mpelelezi yoyote yule atakae weza kunisaidia nataka amfuatilie mume wangu nataka nimshike live na mwanamke kwa sababu kila nikimshika kwenye simu anabadilika naombeni...
0 Reactions
49 Replies
5K Views
Je ni sawa raisi kuteuwa majaji?naomba hili pia litupiwe kwenye mabadil;ioko ya katiba.ni jukumu letu
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jaman wanasheria nilikuwa naomba mnielimishe juu ya kukata rufaa kwasababu shule yetu matokeo yake yamezuiliwa bila sababu.Nakila tukijaribu kufatilia tunakumbana na vikwazo kama kukamatwa na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jamani leo nimenunua soda ndani yake nimekuta mabaki ya mshumaa.wapi nianzie kuishaki coca cola tanzania?msaada nimechukha sana kwani nilinunua klet nying na soda 1 ndo nimekuta ina uchafu
0 Reactions
14 Replies
3K Views
what are the reasons and problems of the increased rate of divorce in Tanzania
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wakubwa shikamoo wadogo marahaba, Bila shaka wengi wetu kama sio wote tumeona hivi vibao vyenye maandishi ya 'Park at your own risk' kwemnye, maeneo mbalimbali kama mabenki, mahoteli, nk. sehemu...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano Inasema hivi: (5) Endapo katika shauri lolote inadaiwa kwamba sheria yoyote iliyotungwa au hatua yoyote iliyochukuliwa na Serikali au mamlaka nyingine inafuta au...
0 Reactions
98 Replies
17K Views
Kamanda wa Kikosi cha usalama Barabarani nchini, Mohamed Mpinga Madereva zaidi ya 357,552 wamebadilisha leseni zao za zamani na kupata mpya tangu zoezi hilo lilipoanza Oktoba mwaka 2010...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Waheshimiwa sana wanasheria! Mimi ni kijana na ni graduate wa udom mwaka jana kozi ni Project planing, management and comunity devl, nahitaji kwenda huko mana nasikia nchi ile imepiga maendeleo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jamani naomba mawazo yenu. Mimi niliajiriwa 2008 serikalini katika idara ya afya kama mfanyakazi TAMISEMI na nilifanya kazi serikalini kwa muda wa miezi minne ndipo nikaanza kulipwa mshahara...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Tume ya Maadili ya Viongozi wa Umma imetangaza kuwa inaaza kuhakiki mali na madeni ya viongozi wa umma 60 kama walivyowasilisha matamko yao kuhusu rasilimali na madeni kwa mujibu wa kifungu cha 9...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
jamani wanasheria naomba mnisaidie,short notes what is legal picture and themis
0 Reactions
1 Replies
848 Views
kaka yangu kamfumania mke ana kiss live na picha kama ushahidi anazo jeee anaweza kufungua kesi ya madai ?
0 Reactions
2 Replies
873 Views
Back
Top Bottom