Kukata rufaa

Harper seven

New Member
Feb 5, 2012
2
0
Jaman wanasheria nilikuwa naomba mnielimishe juu ya kukata rufaa kwasababu shule yetu matokeo yake yamezuiliwa bila sababu.Nakila tukijaribu kufatilia tunakumbana na vikwazo kama kukamatwa na polis bila ata sababu .Nahitaji msaada wa wanasheria ili nikate rufaa na pia matokeo yetu hayajafutwa ila yamezuiliwa jina la shule inaitwa Arusha meru secondary namba s0303.naomben ushaur
 
Mdogo wangu hapo hakuna rufaa ila kuna kuomba order ya mahakama imlazimishe mtu mwenye jukumu la kutoa matokeo yenu ayatoe. Na hili ni suala la kitaalamu katika sheria na inatakiwa uwe umejaribu kutumia njia zote za ku’demand utekelezaji wa hilo jukumu na iwe imeshindikana. Lakini kwa kiwango amabacho najua, kama matokea ni ya mtihani uliotungwa na Baraza la Mitihani la Taifa unaweza kuyaagali kutoka kwenye mtandao wao wa www.necta.go.tz na kama hayapo fuatilia kwenye baraza usijekuta we ni miongoni mwa wale walioandika yasiyofaa kwenye karatasi.
 
Back
Top Bottom