Nahitaji kwenda Rwanda kutafuta maisha. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nahitaji kwenda Rwanda kutafuta maisha.

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by Mr. Masasi, Feb 20, 2012.

 1. M

  Mr. Masasi Member

  #1
  Feb 20, 2012
  Joined: May 12, 2011
  Messages: 53
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Waheshimiwa sana wanasheria! Mimi ni kijana na ni graduate wa udom mwaka jana kozi ni Project planing, management and comunity devl, nahitaji kwenda huko mana nasikia nchi ile imepiga maendeleo sana na fursa za uwekezaji ni nyingi na ni iman yangu kwamba naweza pata kazi kule. Naomba nyie km watalamu wa sheria mnisaidie ni proces zipi naweza pitia ili kufika huko. Na sheria za rwanda zinasemaje kwa sisi wana east africa kwenda kuish kule au kufanya kazi. Lengo langu nataka nifate taratibu zote za kwenda huko. Bongo hakuna mitaji wala ajira na ndo mana nataka kwenda huko . Ahsanteni
   
 2. G

  Giroy Member

  #2
  Feb 20, 2012
  Joined: Dec 17, 2008
  Messages: 82
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nenda usiogope kujaribu. Mwaka jana mimi niliondoka na kxenda juba s.sudan kuangalia fursa za kazi huko.kwa kweli watz ni wachache sana.nilikaa juba wiki mbili huko wakenya ndio wanapiga kazi kweli kweli.waganda,wasomali, waethiopia.maisha juba hayana tabu kwa siku zote nilizokuwa huko sijasikia mlio hata wa risasi.watz tumekaa tu tuogopa kujichanganya.najipanga tena kwenda huko sababu nimeshapafahamu sitapata shida kama mwaka jana.Mungu akuangulie, Mungu akulinde na kukubariki. giroy70@yahoo.com
   
 3. Didia

  Didia JF-Expert Member

  #3
  Feb 20, 2012
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 721
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 45
  nasikitika hauapata msaada. ningetamai sana nikusaidiekujibu maswali yako ila sina utaalamu kitka eneo hili. Naunga mkono wazo lako kwa sababu watz tunatabia ya kubakia hapahapa tu na kulalamika, ooh akwenya wanachukua ajira zetu....
   
Loading...