Raisi kuteua majaji ni sawa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Raisi kuteua majaji ni sawa?

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by kelvinkipeta, Feb 21, 2012.

 1. k

  kelvinkipeta Senior Member

  #1
  Feb 21, 2012
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 109
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Je ni sawa raisi kuteuwa majaji?naomba hili pia litupiwe kwenye mabadil;ioko ya katiba.ni jukumu letu
   
 2. c

  chegreyson JF-Expert Member

  #2
  Feb 21, 2012
  Joined: Nov 23, 2011
  Messages: 737
  Likes Received: 156
  Trophy Points: 60
  Kwa katiba ya sasa ndivyo inavyosema.
  Rais kuteua jaji sio kosa ila katiba ingetamka kuwa mara baada ya rais kumteua jaji, ni lazima kamati ya bunge inayohusiana na mambo ya sheria na katiba imhoji mteule na kumpendekeza kwa rais kuwa anafaa au hafai.Baada ya kuangalia vigezo mbalimbali.
   
 3. H

  Hofstede JF-Expert Member

  #3
  Feb 21, 2012
  Joined: Jul 15, 2007
  Messages: 3,584
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 0
  Tena mahojiano hayo yawe open to the Public
   
Loading...