CHUAKACHARA
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 12,358
- 6,422
Wapendwa naomba ufafanuzi juu ya kigungu cha 61 na 71 vya Employment and labour relations. Naona kama vinagongana. Kimoja kinaruhusu mtu kuzuia kukatwa mshahara wake na kingine kinalazimisha hata kama wewe sio mwanachama. Agency shop agreement section 71 subsection3(c), section 4, 5 and 6 inapingana na deductions on trade unions subsection 4,and 5 naomba ufafanuzi kwa wenye mwanga wandugu.