Spice, herbs and Condiments

Babaanyi

Senior Member
Aug 10, 2012
114
41
Wengi ni wapishi lakini theory ya upish huu hatujui, mimi nitaanza kutoa elimu basics za culinary arts. Leo ni hiyo juu

1. Herbs ni mimea iwe imekauka au mibichi jitumika kwenye vyakula kupika au kupamba, mfano corriender, cinammon stick, nk. Kazi yake ni kuongeza harufu,(aroma) lakini pia ni dawa.

2. Spice, hizi nazo ni viungo vilivyosagwa kama cinnamon, marsalla, royco nk. Hutumika kwa ajili ya aroma pia, lakini hata taste na rangi.

3. Condiments, hizi ni viungo vyote tunavyopikia vilivyo katika form ya kimiminika, kwa mfano, tomatoe paste, soy sauce, mayonaise, mustard etc. Huleta taste.nzuri.lakini pia harufu na rangi.

Tukutane next time.

The walking chef
 
Back
Top Bottom