Jukwaa la Mapishi

Mijadala mbalimbali ya wanajamii inayohusiana na mapishi
Habari wana jf, Kama mnavyojua kesho sikukuu nataka nipike pilau. Nimenunua viungo ila sivijui vizuri. Pia naomba kujua kama pilau masala ya Zanzibar ni nzuri kwa pilau.
0 Reactions
3 Replies
19K Views
Mahitaji: 1.Mchele nusu kilo. 2.Kuku 1 kata vipande vipande...mroweke na tangawizi na chumvi. 3.Carrot 1 ikwangue. 4.Green peas/njegere kiasi. 5.Kitunguu kikubwa kimoja. 6.Mchanganyiko wa...
16 Reactions
99 Replies
17K Views
Habarini wanajukwaa, Nahitaji biriani iliyoandaliwa vizuri maeneo ya temeke mwenye kujua tafadhari anijuze.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Jamani kama kawaida feedback ni muhimu. Nilisoma uzi juu ya maandazi ya hiriki humu basi leo nikaamua kufanya experiment. Nikanunua kila kitu huku hiriki kachupa bei mbaya sana.Hivi bongo kama...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Mahitaji: Viazi mviringo nusu kilo- vichemshe na maji mengi yenye chumvi bila kuvimenya Maharage machanga nusu kilo- yachemshe na maji mengi pia yenye chumvi Mwaga maji ya...
0 Reactions
1 Replies
8K Views
Mahitaji: 1,Mchicha (Kiasi kinachokutosha). 2.Kitunguu maji. 3.Nazi ( tui zito/ ya pakiti). 4.Curry powder. 5.Pilipili (ukipenda). 6.Mafuta ya kupikia kiasi. chumvi Jinsi ya kuandaa...
11 Reactions
29 Replies
27K Views
A salaam Aleykhum wanaJF wote. Please, kwa mlioko katika jiji tajwa, ni mitaa gani, hotels or so tunapata chakula ya Kitanzania Original? Natanguliza shukrani za dhati kwenu wote. :wave: Kamarada.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Jamani anaejua kutengeneza mkate wa mofa msaada tafadhali.
0 Reactions
6 Replies
9K Views
Habari zenu wana jamvi,napenda tukumbushane kidogo juu ya usafi katika hili suala la mapishi. usafi huu ni wa pande 3. 1.Usafi wa mpishi. 2.Usafi wa pishi/mapishi yenyewe. 3.Usafi wa mazingira...
5 Reactions
8 Replies
4K Views
Yan inasikitisha kwa kweli., utamkuta mama mpk saa nne asubuh hajaamka na ana mtoto mdogo. Na hata hajaanda breakfast ya mwanae na hana mpango huo kila siku sasa sijui bajeti ama ni nn. Hapo mtoto...
2 Reactions
52 Replies
7K Views
Asante MziziMkavu hii kitu nimeifuma anikiwa na google: https://www.jamiiforums.com/jf-doctor/103715-matumizi-ya-viungo-vya-vyakula-katika-kuboresha-lishe-na-afya.html
0 Reactions
1 Replies
6K Views
Mambo. Kina mama lishe na baba lishe, vip mbona kimya huku misosi imekwisha leteni mambo wengine tujifunze.tunasubiri ujuzi wenu humu wapendwa mbona kimya sana.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Niliwahi kula mlo huo ni chakula kitamu sana. Naomba ajuae kupika bokoboko anifundishe kupitia hapa jf chef.
0 Reactions
16 Replies
5K Views
Mapishi ya Mlenda wa majani ya maboga: Mahitaji: 1. bamia gram 250 2. Majani ya maboga 200 3. Nyanya chungu (kama utapenda) gram 100 4. Magadi 1/4 kijiko cha chai 5. chumvi - to taste 6. nyanya...
8 Reactions
55 Replies
50K Views
Mahitaji ya pishi hili ni pamoja na ndizi mshale kiasi unachopenda kulingana na familia yako, nyama ya ng'ombe nusu kilo vitunguu maji vikubwa viwili nyanya moja pilipili hoho moja, karoti moja...
3 Reactions
14 Replies
44K Views
Ndugu wadau. Napenda kufahamu mboga/ kitoweo gani kinapendeza kulia ugali wa dona.
1 Reactions
21 Replies
12K Views
Msaada, naomba mwenye kujua namna ya kupika wali wa rangi na rosti la kuku wa kienyeji👏👏👏
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Naomba mnisaidie. Nihifadhi kiaje yasiharibike haraka..mfano Ndizi nk.Nilijaribu kuwekafoil pepa na kuweka frijini haijasaidia.
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Chicken With Pepperoni Marinara Sauce This dish is guaranteed to be a crowd-pleaser. From Sweet Treats & More, this recipe takes all the things your kids love - cheese, pepperoni, crispy chicken -...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Back
Top Bottom