Uchomaji wa Maandazi

farkhina

Platinum Member
Mar 14, 2012
14,568
16,906
Mahitaji
Unga kg 1
Sukari kiasi
Hiliki
Baking powder 1tea spoon
Hamira 1table spoon
Tui la nazi au maziwa
Samli 3 table spoon
Siagi 3 table spoon
Yai 1
Mafuta ya kupikia

Namna ya kutaarisha
Changanya vitu vyote na ukande unga hadi uwe laini
Weka sehemu yenye joto joto ili uumuke kwa dakika 30..

Katakata maandazi kutokana shepu upendayo mfano duara ama pembe tatu..

Wacha hadi yaumuke weka sehemu ya joto joto

Weka mafuta kwenye karai hadi yapate moto.

Kaanga maandazi yako hadi yawe brown.

Tayari kwa kuliwa..

Waweza kula na chai,mchuzi ama upendavyo
 

Attachments

  • 1384530339313.jpg
    1384530339313.jpg
    42.8 KB · Views: 1,270
  • 1384530532268.jpg
    1384530532268.jpg
    15.4 KB · Views: 1,153
Hapo hapo...huko kukanda vizurI ndo inakuwaje...unatakiwa uchukue mda mrefu au mikono inawekwa pozi gani

Unaukanda hasa unga unausukuma sukuma taratibu tu....sio kuuchezea chezea....
 
MashAllah, Sura tu yanavuta sikwambii ukiyala. Mmmhhu mi skuizi nimekua mvivu mambo ya kukandakanda sipendi.
 
Back
Top Bottom