Jukwaa la Mapishi

Mijadala mbalimbali ya wanajamii inayohusiana na mapishi
Hello wana JF, natumaini mpo salama wazima wa afya, anayejua mapishi na maandalizi ya samaki Kambale anisaidie jinsi ya kumpika natanguliza shukrani.
2 Reactions
19 Replies
7K Views
Jinsi nilivyokuwa napika kitimoto na ndizi. Kwanza mfahamu kuwa nilikuwa napika chakula kingi, siyo kama kile cha kwenye video. Mahitaji. Kitimoto kilo moja. Ndizi mzuzu kumi, napendelea zile...
9 Reactions
14 Replies
5K Views
Wadau naomba kujua KITAALAMU na AFYA ni mchanganyiko upi ni SAIHI kwenye kuchanganya nafaka zetu na kipimo mfano mahindi, mtama, ulezi, muhogo. Natumiaga hivyo vyote ila nakutana na shauri...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mahitaji:- Unga kilo 2 Mayai 2 Sukari 5½ Kijiko cha chakula Blue Band 2½ Kijiko cha chakula chumvi 1 kijiko cha chakula Vanila 2 vifuniko B/powder 2½ tspn Amira 3½ Kijiko cha chakula Naombeni...
2 Reactions
29 Replies
19K Views
Nimejaribu kutafuta tofauti ya Nyama ya Punda na Ng'ombe sijaweza kutofautisha. Kilichofanya hadi nianze kutafuta tofauti ni namna ambavyo nimekuwa najisikia siku hizi baada ya kula hii nyama...
3 Reactions
7 Replies
3K Views
Zamani nilikuwa nakula kitimoto inanukia Sana enzo hizi tunadrop toka Minaki to Pugu kajiungeni vasco dagama kulikuwa na kitimoto swafi. Sana now dayz nakula nabadilisha viwanja lakin sioni...
2 Reactions
25 Replies
4K Views
Mimi ni mpenzi wa ugali dona mix ya Mahindi, ngano, mtama/ulezi mweupe. Ningependa kujua namna bora ya kuupika ukakujulisha kuwa umeiva. Hata kama kuna mix iliyo bora zaidi, nijulishwe. Picha...
1 Reactions
3 Replies
4K Views
Umewahi toka matembezi ili kufuata msosi? Vitu vidogovidogo maishani vinaweza kukuletea furaha sana. Mi nilikua natoka mpaka feri. Nikifika naingia mle wanakaanga samaki. Nanunua pweza wa moto...
7 Reactions
2 Replies
1K Views
Siku hizi zile foleni za kungojea mafiga kwenye nyumba za kupanga zimepungua sana. Siku hizi wengi wana majiko ya gas chumbani. Kwa kweli yanasaidia sana kuokoa misitu, kurahisisha maisha. Hata...
12 Reactions
33 Replies
4K Views
[emoji179]Chumvi ikizidi kwenye wali weka kiazi mviringo katikati kikiwa kimemenywa chumvi itapungua. [emoji179]Kama choo chako, kina harufu, ya mkojo na huna dawa washa kiberiti chooni harufu...
33 Reactions
94 Replies
22K Views
Kwanza Kabisa Kabisa nitangulize Shukrani nzito kwenu Wakuu Kutokana na kupanda kwa bei ya mafuta ya kupikia hivi sasa kutokana na Mafuta kuwa madogo kulingana na Uhitaji wa raia hali hii imezua...
2 Reactions
11 Replies
3K Views
Wakuu habarini za Mida, Nahitaji msaada kwa wale wataalamu wa kuchoma nyama ya mbuzi huwa inakua lain na yenye ladha. Naombeni tupeane maujuzi jinsi ya kuchoma na aina ya viungo vya kutumia...
1 Reactions
5 Replies
6K Views
Mahitaji 1)nyama/kuku 2)mchele kg 1 3)vitunguu maji 3 vikubwa 4)vitunguu thomu 1 kidogo 5)pilipili manga kidogo 6)uzile 1(bizari ya pilau) tbsp 7)mdalasini kijiti 5 vikubwa au kama ni wa unga 1...
13 Reactions
60 Replies
41K Views
Habar zenu wapendwa...! Kama kichwa cha habari kinavyojieleza naomba kujuzwa namna ya kuandaa pamoja na kuchoma nyama ya ng'ombe, na wastan wa watu wanne. Asante
0 Reactions
32 Replies
83K Views
1.Kuoka ni sayansi hivyo ni muhimu Sana kuzingatia vipimo,hakikisha unapima kwa usahihi kila hitaji lako usiongeze wala kupunguza hitaji muhimu hasa unapojaribu kwa Mara ya kwanza. 2.Hakikisha...
2 Reactions
9 Replies
6K Views
Kuanza kula mlo kamili ni bora na ni kazi sana, wengi wetu tunashindwa kutokana na miundo ya Familia zetu tumezoa tukiamka asubuhi ni viporo, vitumbua nk, mchana ugali na usiku wali. Hii...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Mwenye vitabu au totorials za mapishi ya kienyejii ya kikabila makabila yote tz, anisaidie please.
1 Reactions
21 Replies
7K Views
Matembele ni mboga maarufu sana, pia ni mboga yenye virutubisho sana, Lakini matembele yana faida nyingi katika miili yetu. FAIDA ZA MBOGA YA MATEMBELE KWA UFUPI 1: Matembele yana madini ya...
9 Reactions
36 Replies
12K Views
Salaam, Kiukweli tangu nianze kula ndizi zilizokaangwa sijawahi kuona ladha yake. Je, huenda ninapokula ndo hawajui kuandaa ndizi za kukaanga au mdomo wangu na ulimu ndo umegoma kuhisi ladha ya...
3 Reactions
26 Replies
5K Views
Wataalamu, watumiaji na mafundi. Nahitaji kuelewa kati ya jiko (oven/cooker) la GESI au UMEME lipi ni zuri kwa matumizi ya nyumbani? Mfano wa cooker/oven Liwe la gesi lote, yaani juu na ndani...
0 Reactions
19 Replies
10K Views
Back
Top Bottom