Jukwaa la Mapishi

Mijadala mbalimbali ya wanajamii inayohusiana na mapishi
Wandugu naomba mtu anayejua kutayarisha grits anisaidie
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Friju lako huwa linatumia kiasi gani cha umeme kwa siku? Ni aina gani na ukubwa jee na brand? Tupeane mbinu za kufanya friji zitumie umeme mdogo
1 Reactions
43 Replies
16K Views
Bandugu ebu tupeane Maujanja zaidi ya kutumia hii kitu tomato sauce unayoyajua wewe au ndo kuweka tu kwenye chips kama nijuavyo mimi au kuna vitu zaidi tujuzane tafadhali. Ahsante Amani iwe nanyi
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Unapenda kipi Sana Kati ya banana crips au chipsi kavu.?chagua kimoja tu ambacho hukuvutia na unakitumia Sana kwa wingi
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Eti wandugu hii kitu inapikwaje? Nasikiaga tu kuwa ni chakula maarufu kwa wamarekani weusi, asili yake ikiwa wahindi wekundu. Inapikwaje?
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Natafuta Recipe nzuri ya kupika kauzu wa Kigoma; wenye kujua mapishi ya kauzu nisaidieni.
0 Reactions
29 Replies
5K Views
Habari za leo ndugu wapendwa. Ni kwa muda sasa nimekuwa na mazoea ya kula vyakula kama jamii yetu ilivyozoea. Asubuhi chai na maandazi, mikate au chapati, mchana ugali, jioni wali na vitu...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu? Natumai mko POA. Najua Jf imejaa watu wa Kila Aina wenye uzoefu katika mambo mbalimbali na vichwa vyenye madini ya kutosha! Hivyo basi wakuu nilikuwa naomba wataalamu wa...
1 Reactions
9 Replies
5K Views
Mimi ni moja ya wale wajuba wasiopenda kula mitaani iwe hotel,cafe,bar,pub,nk sehemu yeyote wanayotoa huduma ya chakula sio mpenzi wa kula sehemu hizo na hii n kwasababu sipendi pikiwa chakula...
35 Reactions
215 Replies
47K Views
Yaani ukioa mpare utalishwa makande hadi ukome, yaani imekuwa kama ndo chakula kikuu sijui ndo uvivu wa kupika? Halafu mzigo unapikwa wa maana mtakula hata siku mbili, unampa hela za matumizi za...
23 Reactions
123 Replies
12K Views
Wana JF Naomba kufahamu vitu hivi kwa kiswahili vinaitwaje CINNAMON, ROLLED OATS
1 Reactions
16 Replies
10K Views
Nipo chuo na ninaishi na mshkaji wangu. Huyu jamaa ninayeishi nae, ni mpenzi mkubwa sana wa dagaa. Ila, jamaa hawezi kuzipika. Kwa wiki ni LAZIMA tuzile angalau mara 1 ila ladha ndio mtihani...
2 Reactions
7 Replies
4K Views
Wakuu habari natumaini wazima Ninapenda kuuliza kwa wale wachomaji wa kuku au ambao wana maarifa kidogo kuhusu uchomaji wa kuu. 1. Ili kuchoma nyama ya kuku iwe tamu inatakiwa kuchomwaje...
1 Reactions
9 Replies
5K Views
Kwa upande wangu, Underrated Makande: Nimekuwa nikiona watu wakiyadharau sana makande eti kwamba ni chakula cha ajabu ila kwa mimi naona makande hayapewi heshima inayostahili. Jamii zote za...
17 Reactions
107 Replies
10K Views
Ukisikia kigoma mwisho wa reli sio mwisho hapanaa.. ndio mwanzo wa mambo mazuri ya kuvutia na kupendeza.. kigoma iliyobarikiwa vipaji, elimu, mazao mbalimbali mbalimbali kutoka majini na nchi...
3 Reactions
101 Replies
34K Views
Mi mambo mengine yananipita hivi hivi..hili pilau nimeliona mahali naomba mwenye msaada wakujua haya majani ni mbwe au ni bahati mbaya yamedondokeamo. Kama siku hizi ukipika pilau ukimaliza...
2 Reactions
25 Replies
10K Views
Kila binadamu ana kile alichojaaliwa na Mungu. Siku zote anachoamua mmoja kula huenda kikawa sumu kwa mwingine. Chakula anachokula mtu kinaenda sanjari na hali ya kiafya. Wengine huumwa hadi...
1 Reactions
13 Replies
45K Views
Hivi kuna wakati unakua huna pesa au ndo umebakiwa na visent vidogo au huna hobby ya kula nyama sijui samaki wala huna hobby ya kugusa hata mboga za majani kbs Simple mboga ni hii ya miguu ya...
6 Reactions
25 Replies
10K Views
Wakuu naomba kujua shellfish ni Aina ipi ya samaki? Na je mapishi yake yakoje? Asante sana
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Waungwana za jikoni? Nina rai hapa kuwa tuweke kwa kiswahili na kingereza majina ya viungo vya chakula yaani spices pamoja na ingredients nyingine za kupikia na hata majina ya vyakula...
5 Reactions
36 Replies
53K Views
Back
Top Bottom