Matumizi ya Oven na Cooker

lemky

Member
Dec 31, 2013
80
31
Wataalamu, watumiaji na mafundi.

Nahitaji kuelewa kati ya jiko (oven/cooker) la GESI au UMEME lipi ni zuri kwa matumizi ya nyumbani?
Mfano wa cooker/oven
  • Liwe la gesi lote, yaani juu na ndani, au
  • Liwe juu gesi ndani meme.
 
Juu gesi, chini umeme!

Ingawaje yapo majiko ambayo ni hybrid kati ya umeme na gesi kote juu na chini.
 
Naona nzuri ni plates 3 za gesi na ya umeme moja for backup ukiishiwa gesi ghafla
Oven iwe ya umeme zingatia

usinunue oven ya gesi

Binafsi tangu nakua tunatumia jiko la umeme hivyo sikuwaza muda nanunua jiko lingine nikaassume itakua tu na taa kwny oven

heee kimbembe wakati wa matumizi ndo nabaini na'bake na sina mwanga/taa ndani ya oven nilikasirika na kujilaumu sn
Nataka kuliuza tu ninunue oven ya umeme
 
Kwanini oven isiwe gas
 
Utakosa taa ndani ya oven
Sio kweli. Zipo oven za gas na zina taa ndani. Labda umpe sababu nyingine.
Mfano kwangu mimi changamoto halina moto wa juu, juu inategemea moto uzunguke kutokea chini. Ni changamoto kulitumia kwenye swala la kujua moto kiasi gani, ila kadri unavyotumia umazoea kabisa. Mimi la kwangu nimeshalizoea na kulijulia, hivyo nachomea nyama na hata kupikia cake bila shida.
 
Oh okayy
Thanks kunifungua macho
Basi nikadhani yote

I expected by default taa iwepo
Siiifurahii hii yangu js bcz ya gesu na haina taa
Vingine viko perfect
 
Back
Top Bottom