Jukwaa la Mapishi

Mijadala mbalimbali ya wanajamii inayohusiana na mapishi
Wataalamu, watumiaji na mafundi. Nahitaji kuelewa kati ya jiko (oven/cooker) la GESI au UMEME lipi ni zuri kwa matumizi ya nyumbani? Mfano wa cooker/oven Liwe la gesi lote, yaani juu na ndani...
0 Reactions
19 Replies
10K Views
Kuna baadh ya watu hutumia sana magadi kuweka kwenye makande, maharage, ndizi yaani karibia kila chakula. Pls mwenye kujua anijuze faida zake na hasara ktk mwili wa binadam.
2 Reactions
12 Replies
44K Views
Recently years kumekuwa na huu mchanganyiko wa mboga Kuku na mnafu/ mnavu kwenye maeneo ya kula. binafsi mimi siipendi hii mboga ya mnafu na imenipelekea kuuliza swali kwamba imekwaje kuku...
4 Reactions
37 Replies
4K Views
"Hata Nguruwe huwa ana swih mbele ya njaa ya kufa" Hii kauli niliwahi kumsikia Fid Q kwenye moja ya nyimbo zake, kitambo kidogo. Muda huo nakula ugali wa kengele, yani dereva wa sahani break...
16 Reactions
59 Replies
11K Views
Nawasalimu kwa jina la jamuhuri mtaitikia wenyewe huko Kila mtu kuna baadhi ya vyakula hawezi kuvila kwa sababu kama za magonjwa au kutokuvipenda. Mimi binafsi siwezi kula vyakula vifuatavyo...
5 Reactions
142 Replies
11K Views
Jamani nataka kujua ni jinsi gan ya kutengeneza pilipili kama zile wanazotumia wauza chipsi wa Dar es Salaam na zinakaa kwa muda gani, nimeuliza sana ila sijapata jibu naamini leo nitapata majibu...
1 Reactions
32 Replies
13K Views
Mbute ni chakula kinachotokana na zao la muhogo ambao humenywa na kuvundikwa kwa maji halafu huchemshwa. Chakula hicho huwa kitamu kupita muhogo uliopikwa. Maandalizi ya mbute Mbute hutokana na...
3 Reactions
13 Replies
2K Views
Nimeonja pili za embe tofauti tofauti na zote ni tamu balaaaa na zote zina rangi ya ukijani kibichi hebu kama mtu ana fahamu Adondoshe recipes hapa!
2 Reactions
8 Replies
4K Views
Wakuu heshima kwenu? Naomba kujuzwa kwa mwenye kufahamu njia ya asili ya kusafisha masink, yaan kung'arisha masinki bila kutumia dawa za kemikali.
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Wadau habari zenu? Naomba kama kuna mtu anafahamu namna ya kutengeneza hizi mbegu mnazoziona katika picha anifundishe. Hapo kuna Mbegu za Maboga, Mbegu za Ngano isiyokobolewa, na Zabibu kavu...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Ni chakula kizuri sana kutumia kama kifungua kinywa (breakfast) cha mtoto kwa sababu kina kiasi kikubwa sana cha virutubisho. Chakula hiki kitamfanya mtoto wako awe na siku nzuri yenye...
5 Reactions
9 Replies
7K Views
MAHITAJI ~ Maembe 3 mabichi ~ Nyanya 5 kubwa ~Tomato paste/ tomato ya mkebe kijiko 1&1/2 cha kula ~ Pilipili mbichi takriban 20 ~ Vitunguu maji 2 ~ Thomu konde 8 ~ chumvi kiasi ~ Mafuta ya uto/ ya...
0 Reactions
5 Replies
6K Views
Watu wengi kwa sasa wamependelea kula ugali uliopikwa kwa unga wa mahindi usiokobilewa, maarufu 'dona'. Pamoja na kwamba mahindi uhifadhiwa kwa madawa ili yasiharibike (athari kwa fedha) kuna...
13 Reactions
439 Replies
141K Views
Habari! Twende moja kwa moja kama mada husika. Napenda sana kupika mapishi mbalimbali kulingana na mazingira niliyopo na nini nahitaji. Sasa wapishi wenzanu wenye uzoefu na pishi la kumpika...
6 Reactions
59 Replies
11K Views
Lazima nile nishibe. Proteins kama zote.
4 Reactions
8 Replies
2K Views
Msaada wa jinsi ya kupika Dagaa wa Nyasa?
2 Reactions
9 Replies
7K Views
Habari wakuu Nimepewa mbegu za giligiliani. Nimeambiwa naweza zitumia kama kiungo kwenye wali na nimejaribu kuziweka kama zilivo ila cha ajabu zimebaki na ugumu wake ule ule ingawa zinatafunika...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Wakuu nimekuta sehemu nda humo jamaa anaomba ujuzi wa kupitia Michembe. Hivyo nikaona nishee na nyinyi japo kwa uchache. Jinsi ya kupika Michembe 1-Chukua Michembe inayo tosha kwa ajiri ya...
4 Reactions
26 Replies
6K Views
. . .What are you Great at?!! Nini ukipika watu wengine wanaomba kuongeza chakula kama hawana akili nzuri? Au hawaachi kuomba uwaambie ulichoweka? Au hawaachi kutania kwamba lazima umeweka dawa...
13 Reactions
147 Replies
24K Views
Hi guys, Natumaini mmekuwa na J'pili njema na yenye baraka..! Nakumbuka miaka ya nyuma ndiyo najifunza funza kupika maskiini, siku hiyo nikaambiwa nipike uji tena wa ulezi bhaana bhaana, nikatoa...
17 Reactions
155 Replies
13K Views
Back
Top Bottom