Msaada jinsi ya kuandaa mandazi na kufanya yadumu muda mrefu

Wilhelm Johnny

JF-Expert Member
Jan 13, 2016
1,351
1,282
Mahitaji:-
Unga kilo 2
Mayai 2
Sukari 5½ Kijiko cha chakula
Blue Band 2½ Kijiko cha chakula
chumvi 1 kijiko cha chakula
Vanila 2 vifuniko
B/powder 2½ tspn
Amira 3½ Kijiko cha chakula

Naombeni msaada niongeze nini hapo au nipunguze nini. Kusudi niweze kupata andazi laini lililojaa ndani vizuri na liweze kudumu muda mrefu. Ni kwa ajili ya biashara

Sent using Jamii Forums mobile app
 
0658438825 nicheki tuyajenge upo wapi ww

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi kwa kipimo cha kilo moja huwa naweka baking powder kijiko kimoja, hamira kijiko kimoja, sukari vijiko 5 ( unaweza kuongeza kulingana na sukari unayopenda), yai moja. Maandazi yanakaa mpk wiki ila sijawahi weka zaidi ya hapo
Mahitaji:-
Unga kilo 2
Mayai 2
Sukari 5½ Kijiko cha chakula
Blue Band 2½ Kijiko cha chakula
chumvi 1 kijiko cha chakula
Vanila 2 vifuniko
B/powder 2½ tspn
Amira 3½ Kijiko cha chakula

Naombeni msaada niongeze nini hapo au nipunguze nini. Kusudi niweze kupata andazi laini lililojaa ndani vizuri na liweze kudumu muda mrefu. Ni kwa ajili ya biashara

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama hapo juu kwa kipimo cha kilo moja huwa naweka baking powder kijiko kimoja, hamira kijiko kimoja, sukari vijiko 5 ( unaweza kuongeza kulingana na sukari unayopenda), yai moja. Maandazi yanakaa mpk wiki ila sijawahi weka zaidi ya hapo
Nataka nikaanga maandazi kwa unga kilo 1, ya kula mimi mwenyewe nyumbani, mahitaji, maandalizi mpaka kufikia kuliwa nielekeze tafadhali.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama hapo juu kwa kipimo cha kilo moja huwa naweka baking powder kijiko kimoja, hamira kijiko kimoja, sukari vijiko 5 ( unaweza kuongeza kulingana na sukari unayopenda), yai moja. Maandazi yanakaa mpk wiki ila sijawahi weka zaidi ya hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
Matayarisho
Naandaa maji ya vuguvugu (naweza tumia Nazi pia japokua ukiweka Nazi yanawahi kuharibika)
Napasha mafuta moto kiasi vijiko 2 vya kupakulia chakula.,
Mafuta yakipata moto namimina kwenye unga ambao nimeuchanganya na baking powder ,hamira na sukari ukishachanganyika naendelea kukanda kwa maji ya vuguvugu au maziwa au tui la nazi.
Huwa nachoma kwenye mafuta muda huohuo au naacha yaumuke kidogo isizidi nusu saa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Iliki ni antibiotic ina inhibit fungus, maandazi yatasogeza siku kidogo pia yatanukia.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom