Wakuu naomba kuelekezwa namna yakutengeneza sharubati ya mboga za majani bila kuweka maji na je kuna mashine maalum ya kukamua mboga mboga kuwa sharubati?
Sent from my Infinix X656 using...
Jamani naombeni msaada wa kuchanganya cocktail maana nilikunywa mahali aisee ilikuwa poa sana sasa natamani na mimi niweze kuiandaa ila sijui michanganuo nini na nini naombeni misaada kwa ninyi...
Pamoja na kuwa tunaandamwa sana na thread za kutishia afya zetu kisa kula nyama yetu pendwa, mimi kama mdau nashauri tuwapuuze tu na zaidi tufahamishane maeneo inapopatikana kirahisi popote...
Mahitaji:
Maziwa fresh 1lt, limao na sukari kidogo tu.
Anza kwa kuchemsha maziwa katika moto mdogo yapate moto ila yasichemke kabisa.
Kisha chukua limao kamulia ndani ya maziwa hakikisha yamekua...
JF ndio kisima cha maarifa.
Katika kujiandalia lishe bora ya ugali nimechanganya kg 10 za mahindi na kg 3 za soya. Nilianza kwa kuchemsha soya na kuzianika siku 2.
Tatizo unga umetoka na...
Namna ya kuandaa kitafunwa hiki aina ya kachori
Mahitaji
Viazi 10
Chumvi kiasi
Masala
Unga wa dengu 1 cup
Ndimu 3[h=3]Mataarisho
Namna ya kuandaa/ Kupika
Chemsha viazi na maganda yake...
Wakuu naishi Dar nataka kununua gesi kwaajili ya matumizi ya nyumbani kwaajili ya kupikia.
Je? Ni gesi aina gani ni nzuri hapa na maana ni kampuni gani hutoa Huduma ya uhakika.
Kati ya ORXY lake...
Mahitaji
1) Nyama ya kusaga robo
2) Viazi mbatata kg 1
3) Karoti 1 kubwa
4) Pilipili hoho 1
5) Ndimu/limao 2
6) Pilipili manga ya unga 1 tea spoon.
7) Uzile wa unga 1 tea spoon
8) Kitunguu thomu...
Wakuu naombeni mnifundishe formula ya kupika ugali ,maana kila nikipika unakuwa mbichi
vipimo vikoje ratio ya unga na maji
mda wa kusubiri kwenye kila stage
NITASHUKURU
Wadau Hamjamboni nyote?
Nimeambatanisha kanuni husika.
Karibuni tujadili
KITCHEN TIPS From Africa
1. Never store Onions and Potatoes together because both produce a gas that causes either of...
Mahitaji
-Mchele
-Karoti
-Hoho
-Iliki
-Njegere
-Kitunguu saumu
-Tangawizi
-Nazi ya kukuna ni nzuri zaidi
-Chumvi
-Kuna nazi yako vizuri uikamue na uichuje kidog kidogo kiasi cha maji...
Za afya, binafsi napendelea kunywa uji wa ulezi na viazi vitamu. Siku zingine nakula majani chuku chuku ya maboga, matunda kidogo au maharagwe chuku chuku!
Kwa leo nimekula majani chuku chuku ya...
Moja kwa moja kuokoa muda..
Mimi sio mpenzi wa kutumia majani ya chai ya dukani mara nyingi napenda kutumia chai ya mchaichai,baada ya kupitia nyuzi mbalimbali humu zinazohusu mti wa mlonge na...
Upishi uko ukanda wa pwani na kidogo mikoa kadhaa kutoka pwani, baada ya hapo hakuna mapishi, nenda huko Kanda ya Ziwa nenda jiji kama Mwanza hakuna kitu pale, chakula wanajua kujaza nyanya...
Hamjambo wapenzi wenzangu wa misosi?
Binafsi mimi ni mpenzi mno wa chakula yani napenda sana kula chakula kizuri, kisafi, kitamu, ambavyo vinajenga mwili na akili kama sote tujuavyo dhamira kuu...
Kusema kweli ndizi nazipenda zilizoiva tu nakula kama tunda ila sio ndizi za kupika.
Ndizi za kupika nakula tu kuzuia kifo panapokua hakuna chakula kingine.
Katika chakula nisichokipenda zaidi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.