Nasikia na kuona maandishi kwa kila mwenye shahada ya uzamivu kuitwa daktari!!!
Je hii ni sahihi? bakita wangetusaidia kwa hili.
Kwa maoni yangu: daktari ni tabibu na huyu mwanazuoni mwingine...
Si mmesikia wimbo mpya wa Sauti Sol - Tujiangalie? Naona huu wimbo una maana nyingi juu ya historia na mwelekezo wa Kenya. Kuna mtu hapa mstadi wa Kiingereza ambaye anaweza kujaribu tafsiri...
Kiingereza cha kiTanzania
Wapendwa wana JF na wale wote wenye mapenzi mema na nchi yetu Tanzania; hapa ulimwenguni katika nchi zote zilizotawaliwa na mwingereza takriban kila moja ina...
Tusaidiane kuna baadhi ya maneno yamekuwa na mkanganyiko,Wataalam wa Kiswahili tunaomba mtusaidie jinsi tunavyowaita watu hawa:
1.Mtoto wako anamwitaje Bibi yako?
Watu wengi wamekuwa wakisema...
"Mimi huwa sisemagi ukweli"
Naomba mniambie hiyo sentensi hapo juu ina maanisha kuwa huyo jamaa ni mkweli?
Na kama ni mkweli, kwanini hapo kaongopa?
Na kama sio mkweli, maana yake anasemaga...
Sasa hivi kila kona ukipita utasikia "Damshy" Si makanisani wala Misikitini kote huko utasikia "DAMSHY". Si Wamama wala Wababa kila mtu anasema "DAMSHI"
Hivi hili neno limetoka wapi na maana...
Je, ni sahihi kukiweka hapa? Au maana nimetamani pia wanajukwaa tuburudike pamoja. Kitabu cha mashimo ya sulemani nikitabu bora sana japokuwa ni cha kizamani sana.
Habari za wakati huu, niende kwenye Mada ninaishi na mmiliki wa nyumba mmakonde hajui kuzungumza lugha ya watanzania kila wakati anazima taa usiku. Tumeshindwa kuelewana lugha ya kiswahili na...
Hbr wadau naomba maana ya maneno/misemo hii.
1. Ameenda nchi za nje. ( kwani nchi za ndani ni zipi)
2.Ameenda ng'ambo.( kenya nayo ni ng'ambo? Au ni ulaya tu
3.Ameenda Ughaibuni.( ndo wap...
"Aisee bro leo usipolipa deni lako familia italala njaa"
"Mungu saidia nimepata kura za kutosha AISEE la sivyo nyumba yangu ingeuzwa"
Swali: (i) Neno/Msemo Aisee ni la Kiswahili, kama ndio...
Hapo zamani nilikuwa nasoma katika magazeti hadithi za kusisimua za Eddie Ganel. Pia ameandika kitabu, Ndoto Ya Mwendawazimu. Kuna mtu ambaye ana habari za huyu mwandishi?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.