Top 20 most spoken African languages

pauli jm

JF-Expert Member
Mar 2, 2016
391
275
1. Swahili--107million.
2. Housa --50million.
3. Oromo--30million.
4. Yoruba--30million.
5. Zulu--28million.
6. Amharic--25.8million.
7. Igbo--25million.
8. Fulani--24million.
9. Berber--23million.
10. Somali--20million.
11. Xhosa--19million.
12. Malagasy--18.7million.
13. Africans--17.5million.
14. Sepedi--13.7million.
15. Sesoth--13.5millio.
16. Tswana --13.2million.
17. Shona--12.5million.
18. Lingala--12.5million.
19. Kinyarwanda--12.3million.
20. Chechewa--12million.

SOURCE: The letest census repor For the African Countries in whichi the languages are spoken.
 
Kiswahili tukitumie kibiashara kuvuna utajiri huh, maana waKenya wanavuna kwa kisicho chao na sisi tunaduwaa tu
 
Lugha za Taifa zakenya ni Kiswahili na kiingereza. ilazingine kama jaluo , kamba ,kikuyu sio zataifa nikama TZ chaga kinga safa nk. Katika orodha ya lugha tajwa hapo juu hakuna Atamoja yenye asili ya kenya ila wana weza kujifunia kiswahili kwani sio chawa TZ tu! Bali hata wakenya wa ganda na ndio lugha ya Africa nzima ndio lugha inayo tumika kutambulisha bara hili lawatu weusi.
 
Wabongo kwa kucopy na kupest tunastahili kupata PHD!
Ata kufaa nguo tuli copy vipi simu unayo tumia niutamaduni wako. Kuna vitu vyaku copy kwa mfano taarifa kamahi sasa ulitaka iweje taarifa ina sambazwa ili kupashana habari kijana tulia.
 
Back
Top Bottom