Msaada jamani ,usizime taa kwa lugha kifaransa

smh

Senior Member
Mar 20, 2018
134
105
Habari za wakati huu, niende kwenye Mada ninaishi na mmiliki wa nyumba mmakonde hajui kuzungumza lugha ya watanzania kila wakati anazima taa usiku. Tumeshindwa kuelewana lugha ya kiswahili na kingereza,
Naomba mwenye kujua lugha KIFARANSA, KIRENO na KIMAKONDE anisaidie neno USIZIME TAA kwa lugha zilizo tajwa hapo juu

Nawasilisha
 
AKIZIMA LEO MUWASHE KOFI MATATA HALAFU UWASHE TENA TAA. RUDIA ZOEZI HILI MPAKA AELEWE.
 
  • Thanks
Reactions: smh
Back
Top Bottom