Swali: Jamani Danga ni Nani?!

Danga kwa Kiswahili fasaha ni MAZIWA YA KWANZA KABISA YA BINADAMU AU MNYAMA ambayo huwa ni chakula na kinga kwa mtoto au ndama. Maziwa haya huwa ya njano.
Hahahahaha yeleuuuwi
tunataka mana ingine
Huwezi ita kila mwanamke anaenyonyesha Danga huo ugomvi wake hamtamaliza mtafungana
Ni sawa na kumwita mama yako mzazi au mkeo au dadako Danga
 
Ohoooo! Mamaangu, danga sio manyonyo ni maziwa...milk. Ni yale maziwa ya kwanza kabisa, huwa mazito yenye cream nyingi. Kwa ndama, akiyakosa hayo basi haji kukua vizuri, ndio maana wafugaji humuacha ndama anyonye haya maziwa ya njano. Ukileta uroho ukayanywa hali ya kwamba wewe si mtoto au ndama, basi kuharisha kunaweza kukakuhusu.

Ikiwa ndama wa ngombe amefiwa na mamaye kwa uzazi, ndama hutengenezewa artificial danga ili asipate utapiamlo
 
Unajua kuna mvurugano mtaani unaosema Danga

Kila kona Habari ya Mujini ni Kudanga

Wanamziki wakaimba kuhusu Danga

Naomba Tusaidiane mpaka mtu anaitwa Danga anakuwa mtu wa namna gani? !

Danga ni Nani? ! Nataka kuelewa zaidi

Kama wewe
 
Wingi madanga
1. Kazi kikuu cheupe
2.tunda lisilokomaa
DOH!

Ohoooo! Mamaangu, danga sio manyonyo ni maziwa...milk. Ni yale maziwa ya kwanza kabisa, huwa mazito yenye cream nyingi. Kwa ndama, akiyakosa hayo basi haji kukua vizuri, ndio maana wafugaji humuacha ndama anyonye haya maziwa ya njano. Ukileta uroho ukayanywa hali ya kwamba wewe si mtoto au ndama, basi kuharisha kunaweza kukakuhusu.

Ikiwa ndama wa ngombe amefiwa na mamaye kwa uzazi, ndama hutengenezewa artificial danga ili asipate utapiamlo
SAWA MFUGAJI!
 
Back
Top Bottom