Eddie Ganzel

Kitia

JF-Expert Member
Dec 2, 2006
418
74
Hapo zamani nilikuwa nasoma katika magazeti hadithi za kusisimua za Eddie Ganel. Pia ameandika kitabu, Ndoto Ya Mwendawazimu. Kuna mtu ambaye ana habari za huyu mwandishi?
 
Eddie Ganzel nimemsoma vitabu vyake, pamoja na kina Ben Mtobwa, Hammie Rajab na baba lao Eristablus Elvis Musiba.

Kwa mara ya mwisho mwaka 2007 Novemba nilisikia yuko mkoani Morogoro sasa sijui kama bado yuko huko ama wapi, hivyo nami naomba wanaojua watuletee habari zake.
 
Yap nami namkumbuka sana huyu mwandishi pamoja na akina Sam Kitogo, S.M.Bawji, faraj Katalambula, Agolo Andulu. kwani na hammie rajab yu wapi?
Baadhi ya vitabu nilivyosoma vya waandishi hawa ni hivi
>Roho mkononi
>Awe hai au amekufa namtaka
>Nimekoma ukuwadi na shogayo hasidi
>Njama, Kikomo, Kikosi cha kisasi & kufa na kupona
>Simu ya Kifo
>Joto la fedha

ha ha ha ilikuwa raha kwakweli wakati ule.
 
wanafunzi walikuwa wakiinamia kusoma vitabu hivi ilhali mwalimu yu afundisha darasani, ni hapo mwalimu atakapokushtukia......kitabu unanyang'anywa. Omba Mungu unyang'anywe chako... i mean kisiwe cha kuazima.
 
Umenikumbusha mbali nakumbuka kusoma kitabu kimoja cha Eddie Gazel Jogoo la shamba that was masterpiece!
 
Huo ni ukweli, vitabu ivi vilivutia sana. Chukulia njama, kikosi cha kisasi, hofu vy Msiba, tutarudi na roho zetu, mikononi mwa nunda vya Ben mtobwa. Kwa kweli nilikuwa nikianza kukisoma silali kabisa. enzi hizo makwetu na vibatari macho hayakuchoka kabisa.

kuhusu eddy ganzel habari za mwisho mwaka jana kulikuwa na romous kama amefariki ila sina ihakika sana.
 
Yap nami namkumbuka sana huyu mwandishi pamoja na akina Sam Kitogo, S.M.Bawji, faraj Katalambula, Agolo Andulu. kwani na hammie rajab yu wapi?
Baadhi ya vitabu nilivyosoma vya waandishi hawa ni hivi
>Roho mkononi
>Awe hai au amekufa namtaka
>Nimekoma ukuwadi na shogayo hasidi
>Njama, Kikomo, Kikosi cha kisasi & kufa na kupona
>Simu ya Kifo
>Joto la f

ha ha ha ilikuwa raha kwakweli wakati ule.
- Kipi Kikusikitichasho
-Tumgidie Bwege.
 
Huo ni ukweli, vitabu ivi vilivutia sana. Chukulia njama, kikosi cha kisasi, hofu vy Msiba, tutarudi na roho zetu, mikononi mwa nunda vya Ben mtobwa. Kwa kweli nilikuwa nikianza kukisoma silali kabisa. enzi hizo makwetu na vibatari macho hayakuchoka kabisa.

kuhusu eddy ganzel habari za mwisho mwaka jana kulikuwa na romous kama amefariki ila sina ihakika sana.
Ni kweli Eddy Gnzel alifariki miaka miwili ilyopita na Tanzia yake ilikuwa kwenye magazeti. Nadhani jina lake halisi ni Mohammed na Eddy lilikuwa la uandishi.
 
Eddie Ganzel, A. E. Musiba, Ben Mtobwa na Hammie Rajabu wameshatutoka. Je baada yao ni mtanzania gani aliyeweza tena kuandika vitabu vinavyovutia kusoma kiasi cha kumfanya msomaji kusisimka, au tuseme fani ya uaadishi wa tamithilia ndio umekiwsha kabisa. Niliwahi kuosoma tamithilia moja iliyoandikwa na Eric SHigongo nikapata kichefuchefu kabisa.
 
Eddie Ganzel,mzee wa 'Msako wa Hayawani' keshatutangulia mbele ya haki...alikua mwanariwaya wa zama zake!
 
Eddie Ganzel, A. E. Musiba, Ben Mtobwa na Hammie Rajabu wameshatutoka. Je baada yao ni mtanzania gani aliyeweza tena kuandika vitabu vinavyovutia kusoma kiasi cha kumfanya msomaji kusisimka, au tuseme fani ya uaadishi wa tamithilia ndio umekiwsha kabisa. Niliwahi kuosoma tamithilia moja iliyoandikwa na Eric SHigongo nikapata kichefuchefu kabisa.
Mkuu inasikitisha sana, maana waandishi wa leo wote ni copy and paste tu, hakuna uandishi tena.
 
Eddie Ganzel, A. E. Musiba, Ben Mtobwa na Hammie Rajabu wameshatutoka. Je baada yao ni mtanzania gani aliyeweza tena kuandika vitabu vinavyovutia kusoma kiasi cha kumfanya msomaji kusisimka, au tuseme fani ya uaadishi wa tamithilia ndio umekiwsha kabisa. Niliwahi kuosoma tamithilia moja iliyoandikwa na Eric SHigongo nikapata kichefuchefu kabisa.

Hao jamaa walikuwa Magwiji mahiri wa riwaya za kusisimua pia alikuwapo John Rutayisingwa na Agoro Anduru
kwa sasa wanajitahidi kuendeleza fani ni Beka Mfaume na Ndalichako
huyo jamaa mwingine uliyemtaja cjui huwa anaandika nini mpaka page inajaa
 
Beka Mfaume anajitahidi sana,nikianza kusoma riwaya yake huwa sikosi kuifatilia hadi mwisho.kwangu mm ndo aliyebaki baada ya hao magwiji wemgine kutangulia. may they rip
 
wanafunzi walikuwa wakiinamia kusoma vitabu hivi ilhali mwalimu yu afundisha darasani, ni hapo mwalimu atakapokushtukia......kitabu unanyang'anywa. Omba Mungu unyang'anywe chako... i mean kisiwe cha kuazima.

Uko wapi Mama?...........Mwanao nakumiss
 
Mkuu wangu Kichuguu...........

Hii thread imenifanya nikumbuke mbali sana aisee,umenifanya niwakumbuke Pundit,Masatu,Mama,YournameIsMine,Kuhani,Dilunga,Dua,Kyoma,Game Theory,Icadon,Kui na wadau wengine kibao......Ilikuwa raha aisee
 
still missing icadon, nakumbuka ile trailer yake game ya liverpool na manure in 2008........ good ol' days
 
Hao jamaa walikuwa Magwiji mahiri wa riwaya za kusisimua pia alikuwapo John Rutayisingwa na Agoro Anduru
kwa sasa wanajitahidi kuendeleza fani ni Beka Mfaume na Ndalichako
huyo jamaa mwingine uliyemtaja cjui huwa anaandika nini mpaka page inajaa
Kuna mtunzi anaitwa anaitwa Hussein Tuwa.........Jamaa ni mzuri sana kwenye utunzi,anatunga Riwaya/Vitabu vitamu sana...

Binafsi nimebahatika kusoma Riwaya zake kama Mdunguaji,Mtuhumiwa,Mkimbizi,Mfadhili, Bondia na Utata wa 9/12.......Jamaa anatisha hasa
 
Vipi kuhusu Eric James Shigongo? Mbona anaandika sana hadithi, je yeye siyo gwiji kuzidi akina Hammie Rajab, Ben Mtobwa na Eddie Ganzel? Kuna watu wanadai kuwa anatafsiri riwaya za watu wengine je ni riwaya zipi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom