Neno/Msemo Aisee (Tujadili)

kufakunesa

Member
Jul 29, 2011
13
1
"Aisee bro leo usipolipa deni lako familia italala njaa"

"Mungu saidia nimepata kura za kutosha AISEE la sivyo nyumba yangu ingeuzwa"

Swali: (i) Neno/Msemo Aisee ni la Kiswahili, kama ndio chimbuko na maana yake halisi ni nini?
(ii) Kama sio Neno/Msemo halisi la Kiswahili, je ni nini sababu ya kutumika kwake?

Tujadiliane binafsi cna Jibu.....
 
Back
Top Bottom