Nina soft cop kama nusu ya kitabu cha Mashimo ya Sulemani.

blackstarline

JF-Expert Member
Sep 19, 2016
3,092
7,468
Je, ni sahihi kukiweka hapa? Au maana nimetamani pia wanajukwaa tuburudike pamoja. Kitabu cha mashimo ya sulemani nikitabu bora sana japokuwa ni cha kizamani sana.
 
Kiweke mkuu tujifunzee ....wengine ndio starehe yetu kusoma vtabu
 
Back
Top Bottom