1)I........my notes already. a)have wrote b)writting c)writes d) written e)have written [ ].
2). Amina and ashura ......chasing the rate. a)is b)am c) being d) were e) been [ ]
If you have...
Kibanda-umiza ni neno la kiswahili lenye maana ya maeneo ambayo watu hukusanyika na kulipia huduma ya kuangalia michezo mbalimbali kama mpira wa miguu kwa njia ya televisheni. Naomba kujua kwanini...
Nyingine zinahitaji ujuzi, elimu na tajriba ya kiwango cha juu ukilinganisha na nyingine.
Mifano
1. Mhasibu: Mtaalamu wa kuweka hesabu ya fedha.
2. Mhandisi/injinia: Mjuzi wa kutengeneza...
KUMRADHI KWENYE HEADING NAMAANISHA VIDEO CONVERTER. Naomba maujuzi kidogo, nime download video kwenye mp4 haicheki katika simu ya android hivyo nahitaji kuibadilisha ili iweze kuchezwa. Naweza...
Wadau kichwa kinaniuma kwa kufikiria,
Hivi hako ka mstari kwenye heading kaka yetu Dayamond alikua anamaanisha nini?
Sent from my Iphone 7 using JamiiForums mobile app
Mwalimu Julius Kambarage Nyerere,baba wa Taifa la Tanzania kama anavyojulikana kwa wengi.
Mbali na kuwa mwanasiasa,mwalimu na mpigania uhuru wa Tanzania na Afrika,pia alikuwa ni msanii,mtunzi...
Kwa mwenye kujua nini hasa maana ya neno "uchochezi"
Kwa upande wangu ni kufanya ktu kiwe katika hamasa ya juu kabisa " yaani mambo ni moto". Sidhani kama kila uchochezi huwa ni kosa kama...
Poor English from a Tanzanian reputable media...this is the most pathetic English ever....Najua hamjanielewa nlichosema hapo juu....mtumie kiswahili tafadhali
Wataalam samahani naomba kujuzwa ikiwa kuna mtu anafahamu, kama kuna chuo Dsm kinafundisha watafsiri wa lugha ya kiingereza kwa kiswahili au kiswahili kwa kiingereza ( Interpreters)
Habari wanajamvi;
Salaam JF;
Nimekuwa nakutana sana na huu msamiati "Papuchi" katika nyuzi mbali mbali hapa JF. Je hili neno ni kiswahili fasaha ? Je limetokea wapi (Origin yake ) ? Je...
Napenda sana hii Archimedes Principle] jinsi ilivyo kwa Kiswahili:
"When a body is partially or totally immersed in a fluid, it experiences an up thrust on it which is equal to the weight of...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.