Jukwaa la Lugha

Swahili, English languages special forum. Jifunze Kiswahili (Learn Swahili)
Hebu mnaoelewa kisweed twanbieni Leo nikiwa mjini Stockholm nimeona jarida limeandika hivi Vad gjorde Dr Magufuli berömd är mycket samma saker som fångade den tanzaniska befolkningen med...
2 Reactions
71 Replies
8K Views
Kwa heshima na taadhima naombeni kujuzwa ikiwapendeza mnipe na mfano, a recent example
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Sasa hivi imekuwa kama aibu ukimwambia mtu au ukijitambulisha kuwa Mimi natokea Sengerema au naishi Sengerema kutokana na matumizi ya lugha wanayoitumia vijana wa siku hizi Ni tukio lililotekea...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
ndg wana JF, Mwenye kujua kwa ufasaha tofauti kati ya riwaya na tamthiliya anisaidie jaman.
0 Reactions
7 Replies
58K Views
Let us meet here
0 Reactions
1 Replies
941 Views
Siku moja kijana wangu wa kwanza mwenye Umri wa miaka minne (Rejoice I. J M) akiwa anaenda shule alikuta ma Pampers yaliyooza barabarani. Aliporudi nyumbani alilalamika kuwa dada yake (housegirl)...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ninaomba mwenye soft copy hiyo anisaidie tafadhali.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Yapata saa tisa za usiku.. alionekana pale,mwenye taharuki.. sura yake dhahiri ilijazwa na hofu,hofu yenye ambato la kutokujua afanye nini! halikuwa moja lenye kumchanganya, yalikuwa mia...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
What Haemonotox Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
2 Replies
548 Views
Dah,,, Neno ''FULSA'' linapooneka kwenye matangazo ya Televisheni ya Taifa TBC ni tusi kubwa Watanzania wazalendo.... Haiwezekani tukajivunia lugha yetu ya taifa halafu chombo tunachokitumia...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
1.Hali sasa taabani,sote pia tumechoka Balaa barabarani,dereva wanaropoka Waamualo chumbani,mkosi wakisha toka Dereva hukurupuka,akifikiri kwa honda. 2.Abiria ka shetani,tuishi alitamka Hali...
1 Reactions
1 Replies
918 Views
Habari za jioni wadau, Hawa vizabizabina ni akina nani, nimewasikia wakisemwa, wakiimbwa na kutolewa maneno makali. Naomba kujuzwa tafadhali
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Taarifa kwa Umma - Ufafanuzi kuhusu AVN - NACTE
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Is it correct to wite Tanzania electric campany or Tanzania electricity campany? Mi nafikiri inapapaswa kuwa Tanzania electricity campany! Nyie mnaonaje
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Swali liko wazi,mwenye kujua maana ya maana atueleze.
0 Reactions
27 Replies
13K Views
Habari za asubuhi wana JF? Kumekuwa na tatizo la kiuandishi kwa watu wengi kuanzia humu JF mpaka kwingineko kote kwenye mitandao ya kijamii mwanzo nilidhani ni kujisahau lakini sasa naona kama...
1 Reactions
9 Replies
4K Views
HATUNAE MAJUTO. 1.Kila nafsi duniani Taingia kaburini Sote yupo safarini Twapita kwenye dunia. 2.Imendikwa vitabuni Siyo tungo za kubuni Kifo kipo karibuni Hakuna wakubakia. 3.Ila Mumba wa...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Nini maana ya 'mind' kwa kiswahili
0 Reactions
27 Replies
22K Views
Nauliza tofauti na matumizi ya maneno haya nifahamisheni ! "Kijana" na "Binti"
0 Reactions
11 Replies
10K Views
Habari zenu? Kwa anaejua liwa ni nini anisaidie kunifumbua macho, Inatokana na nini? Kwa lugha ya malkia inaitwaje? Nimeshindwa kupata majibu kutoka kwa wanaonizunguka nikakumbuka JF ni kiboko...
0 Reactions
31 Replies
29K Views
Back
Top Bottom