Methali Katika Mtihani Wa Kitaifa wa Darasa La Nane (Kenya)

MwendaOmo

JF-Expert Member
Dec 16, 2013
774
723
Je, jibu la swali la sita ni lipi? Huu ni mtihani wa Kitaifa wa darasa la nane.

KISWAHILI_1_page_002.jpg
 
D, Mbona mtihani ni mrahisi sana? kipindi nikiwa o level nilipenda sana kosolve paspaers za Physics na Chemistry za form four za Kenya sana
 
D, Mbona mtihani ni mrahisi sana? kipindi nikiwa o level nilipenda sana kosolve paspaers za Physics na Chemistry za form four za Kenya sana

Kwanini D? Kwa maoni yangu A na D hayafai. Jibu liko kati ya B na C.
 
Swali la sita jibu lake ni "A".i.e Papo kwa papo kamba hukata jiwe.
 
Back
Top Bottom