Jukwaa la Lugha

Swahili, English languages special forum. Jifunze Kiswahili (Learn Swahili)
Naombeni msaada kombi gani nisome advanc "nimemaliza kidato cha nne mwaka 2018 najiandaa kuingia kidato cha tano lakin nashindwa kufanya chaguo la combi"matokeo yangu ni...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Jamani wataalamu wa lugha, hebu tusaidiane hii kitu iliokuja kwa meli, heading nzuri kwa kuandika barua ya kiofisi kwa lugha ya kiingereza kuhusu kuhairisha masomo kutokana na ugonjwa inaweza...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Suuratul An-nisaai 28 Mwenyezi Mungu anataka kukupunguzieni taabu, na mwanaadamu ameumbwa dhaifu. Zaburi 56:4 Namtumainia Mungu na kusifu neno lake; namtumainia Mungu, wala siogopi. Binadamu...
0 Reactions
6 Replies
5K Views
Hili sakata limenifanya nifatilie na nijue nini maana ya neno "dhaifu" na je "dhaifu" ni tusi? Maana ya neno "dhaifu" kutokana na kamusi. Maana ''dhaifu'' , kivumishi....ni kitu kisicho na...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Nini maana ya neno PAKANGA Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
2 Replies
6K Views
Malenga napiga hodi, mlango muufungue, Mimi muhenga wa jadi, ngoja niwaelezee, Kuhusu huyu hasidi, mshamba wa kipekee, Watanzania wa leo, sio wale wa zamani. Tumeyafuga majoka, sasa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Sauti yangu napaza,kuwaita mlo mbali Natawaka kuuliza,munipe jibu la kweli Moyoni lanitatiza,lanisumbua akili Tumekuja duniani,tutumize lengo gani Swali msije lipuza,kaniona punguani Au msije...
1 Reactions
4 Replies
751 Views
Wakuu poleni na majukumu. naomba kufahamishwa au kujuzwa maana ya neno "TAHOJIA"
0 Reactions
4 Replies
8K Views
Habari, wana JF. Naomba kujua maana ya neno "MZUNGU WA ROHO" Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Narudia tena. Hii salamu haifai kwanza inahusishwa na biashara ya utumwa kuendelea kutumiwa na mwafrika ni kumdhalilisha mwafrika. Pili huwezi jua nani uumpe na nani usimpe maana huwez kuwa...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
EBIKOIKYO BYEKIAYA- (VITENDAWILI VYA KIHAYA) 1. Abake bahondela abangi— MAIZI 2. Abamulilo baikala nibalila—MWIKA 3. Abamwetwekile tibaikugamba wenene nagamba— NYUNGU ELIKUTOGOTA 4. Abana ba...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari wakuu, msaada kwa mwenye soft copy ya kitabu cha mashairi cha WASAKATONGE kilichoandikwa na Mohamed Seif Khatib Ahsanteni
0 Reactions
4 Replies
47K Views
1. Karudi baba mmoja, toka safari ya mbali, Kavimba yote mapaja, na kutetemeka mwili, Watoto wake wakaja, ili kumtaka hali, Wakataka na kauli iwafae maishani. 2. Akatamka mgonjwa, ninaumwa...
3 Reactions
22 Replies
7K Views
Inawezekana sielewi wanaposema kula bata wanakuwa wanamaanisha nini haswa. Je, ni kukutana na marafiki na kupiga soga? Kunywa pombe? Kula nyama choma? Kuogelea ufukweni au bwawa maalumu...
1 Reactions
53 Replies
53K Views
Kumekuwepo na kasumba ya watu kutamka maneno ya kingereza kimakosa ima kwa kujua au pasina kujua, ifuatayo ni orodha ya hayo maneno, waweza ongezea mengine msomaji wangu ikiwa unayo...
12 Reactions
574 Replies
73K Views
Habari wana jamii forums Ni muda sasa nimesikia hili neno MIAKA NA MIKAKA,Nini maana ya miaka na mikaka,hii ni methali au msemo?
0 Reactions
0 Replies
5K Views
Hamjambo ndg zangu watanzania kwanza samahani kama nimeonesha ukabila katika kingereza kuna compound words mf. massmedia ambapo mass lina maana yake na media kivyake lakini yakiungana inaleta...
1 Reactions
83 Replies
37K Views
Nilisikia linatumika kwenye vyombo vya habari, lakini hadi sasa nimejitahidi kujuwa maana halisi ya hili neno lakini sikufanikiwa. Lakini nahisi Wazanzibar wanafahamu vizuri maana naona lilitumika...
0 Reactions
3 Replies
7K Views
Habari Wadau wa Lugha ya Kiswahili! Mimi ni mdau wa lugha ya Kiswahili. Nimekuwa nikijaribu kukieneza Kiswahili hasa kwa njia ya mtandao, hivyo nimeona si vibaya nikibadilishana uzoefu na wadau...
1 Reactions
8 Replies
4K Views
Wakuu habari ya majukumu ya kutwa. nina rafiki yangu anaomba nimsaidie katika kujifunza lugha ya kiswahili. Tatizo sina muongozo wa kumfundishia, naomba kwa yeyote aliyenao anisaidie. Natanguliza...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom