kwa wabena naomba mnisaidie majina haya yanasimama katika jinsia ipi?

fierceman

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2018
Messages
544
Points
1,000

fierceman

JF-Expert Member
Joined Sep 21, 2018
544 1,000
kwenye mada moja kwa moja hivi majina kama vile lusungu, lukelo, twilumba na hata anjimie hivi majina haya huweza tumika kwa aina zote mbili za binadam nikimaanisha wanaume na wanawake au yanatumiwa kwa jinsia moja tu?
 

Forum statistics

Threads 1,390,254
Members 528,131
Posts 34,047,238
Top