Erev tov - Habari za jioni.
hatuwezi kuandika kwa zile alama maana keyboards za android hazina hebrew aphabets.
karibuni. sio lazima uwe unakijua, tumia hata google. Lugha hujifunzwa kwa...
Habari zenu wakuu, natumai mu wazima wa afya.
Embu tufahamu ni lugha ngapi tunazozungumza.
Binafsi ninaongea jumla ya Lugha saba (7).
1.Kiswahili (swahili)
Ni lugha ambayo ninaongea na kuandika...
Heshima yenu wakuu, mara nyingi mtu unaweza kuwa mzuri sana kwa grammar lakini tense zikakuumbua. Mathalani;
>She love her dady very much badala ya >she loves her dady very much.
PRESENT SIMPLE...
RRONDO ndugu yangu kitu cha kwanza katika lugha ni lazima ujue alama kuu zinazoitambukisha lugha fulani ni lahaja na lafudhi
Lahaja ni namna ya utamkaji wa maneno na lafudhi ni namna uongewaji wa...
Wakuu habari,
Jana wakati Mkuu wa nchi akizungumza na wafanyabiashara alisikika akitoa maagizo kua watumishi Fulani wakamatwe kisha 'wasondekwe ndani'
Je neno ''kusondeka ndani"ni sahihi...
Nimeona kwenye Barua iliyoandikwa na ubalozi wetu nchini Oman na Muscat kwamba "Soft copy" Kiswahili chake ni nakala laini. Hebu wajuvi wa Lugha yetu hii adhimu tusaidieni kama tafsiri hii ni sahihi.
Ndugu zangu wanajamii foram na wasalimu salamu za kimakinika. Mimi charity. Ninapenda sana kujifunza, kujua na kukuza uwezo wangu katika kuzungumza na kutumia lugha ya kiingereza.
Nimatumaini na...
Pata maarifa ya kina kuhusu lugha ya Kiswahili kupitia tovuti hii
>>>>>> https://mwalimuwakiswahili.co.tz/
Pakua App ya Mwalimu wa Kiswahili hapa 👉🏿👉🏿👉🏿...
Vipi kuhusu Eric James Shigongo? Mbona anaandika sana hadithi, je yeye siyo gwiji kuzidi akina Hammie Rajab, Ben Mtobwa na Eddie Ganzel? Kuna watu wanadai kuwa anatafsiri riwaya za watu wengine je...
Mwaka jana nilikutana na neno Diaba, lile ndoo kubwa la kuwekea maji, sikuwahi kujua linaitwa hivyo hata hivyo sikuwahi kulitumia mpaka hiyo siku mimeenda kununua kwa ajili ya kuwekea taka
Mimi ni mmoja wa waliopakua app ya Opera News.
Kinachonishangaza ukisoma vichwa vya habari vya Trending Videos ukiona kiswahili kinachotumika ni broken kupita maelezo nawazaga wanaoandika ni watu...
Waheshimiwa wana jf naomba kuelimishwa kuhusu lugha zetu wanadamu hususuni watanzania wenzangu.Hapa nchini tuna makabila zaidi ya 120 na kila kabila wana lugha yao wanayoitumia kwa mawasiliano na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.