Wakubwa, hivi Mti unao itwa Moringo kwa kiingereza, kwa Kiswahili ndio Mlonge?

Ad4

Member
Jul 20, 2013
5
0
Wakubwa, hivi Mti unao itwa Moringo kwa kiingereza, kwa Kiswahili ndio Mlonge?
 
Wakubwa mti huu unaoitwa Moringo kwa kiswahili ndio Mlonge?
 
Wakubwa mti huu unaoitwa Moringo kwa kiswahili ndio Mlonge?
 
Haya new member umefanikiwa kutoa uzi siku nyingine uwe unaweka na picha ya mti wenyewe ili tuujadili kwa majina mbalimbali
 
Nasikia huo Mti ni dawa ya kuongeza nguvu za baba
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom