Kati ya kiarabu, kiingereza na kihispaniola ni lugha ipi ina wazungumzaji wengi duniani?

English is the best, Hata waarabu wenyewe sasa hivi wanawafundisha watoto wao Kingereza hivo hakuna ubishi popote pale ukienda na ukaongea kingeŕeza utapata assistantance haraka hata kama hao uliowakuta hawazungumzi ngeli ila katika jamii almost zote hukosi watema YAI
Wacha tumgonge Bibi kizee pia alete takwimu zake cc faiza foxy
 
Asante mkuu
 
Mkuu unasema kwamba kama utaongea kiingereza utapata nini haraka??
assistantance??!!!

Alimaanisha unapata msaada mapema hii tabia ya kuunganisha Kiswahili na kiingereza ni mbaya sana..... Yaani ukiitafsiri sentence unajua kabisa sentence haina maana ila ukiisoma inaleta mvuto Bongo nyoso
 
Hahahaaa,,, mkuu Mimi niliamua kuchomekea tu! BTW nilimuelewa mchangiaji
 
Back
Top Bottom