wanayakyusa kwa kujidai hadi kwenye lugha, mweeeeeeee! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

wanayakyusa kwa kujidai hadi kwenye lugha, mweeeeeeee!

Discussion in 'Jukwaa la Lugha' started by ndyoko, Nov 9, 2011.

 1. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #1
  Nov 9, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 279
  Trophy Points: 180
  Tunapodai wamasai, wairaki (wambulu), wandorobo na wahadzabe sio wabantu ni kutokana na miundo na sauti ya maneno ya lugha zao. Lakini kuna hili la wanyakyusa la kujidai eti baadhi ya vitu kuvitamka kwa kiingereza kama lugha yao ya kinyakyusa. Hivi ni kweli hawa jamaa wanapotamka baadhi ya vitu kwa kiingereza wakidai ni kinyakyusa ni sawa au ndo maringo yao tu pengine waonekane na wao matawi kwa kuwa lugha yao inafanana ya waingereza?

  Hebu angalia mifano hii:
  Kijiko wanaita -spoon
  shule wanaita -skul

  Hii imekaaje jamani, kama sio kujidai ni nini hasa? Nyie wanyakyusa hebu tujuzeni!
   
 2. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #2
  Nov 9, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,752
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  Unataka kuleta bifu hapa jamvini,...anyway kijiko kinaitwa lefani(sio spoon)...shule kidogo imenitoka ngoja ntarudi kukupa jibu mkuu......ila acha mashambulizi
   
 3. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #3
  Nov 9, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 279
  Trophy Points: 180
  nnachoongelea kwa yeyote ambaye ameishi au kusikia wanavyoongea hawa shemeji zangu, takubaliana nami kama sio mbishi
   
 4. lutamyo

  lutamyo JF-Expert Member

  #4
  Nov 9, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 633
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 45
  Ameanza asubuh asubuh...du!
   
 5. feis buku

  feis buku JF-Expert Member

  #5
  Nov 9, 2011
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 2,371
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  msamehe!
   
 6. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #6
  Nov 9, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  hata sabuni-soap
   
 7. GAZETI

  GAZETI JF-Expert Member

  #7
  Nov 9, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 3,544
  Likes Received: 1,022
  Trophy Points: 280
  Sidhani kama hapa ni mahali pake hii thread!
   
 8. B

  Bwana Member

  #8
  Nov 9, 2011
  Joined: Feb 17, 2009
  Messages: 46
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Hawa watu majigambo yamezidi.
   
 9. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #9
  Nov 9, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 279
  Trophy Points: 180
  hama nenda kwingine. Unafikiri wote wanapenda mvu inyeshe pale wanapoishi? waulize mods why wameiweka hapo
   
 10. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #10
  Nov 9, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 279
  Trophy Points: 180
  Nimekosa nini jamani?
   
 11. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #11
  Nov 9, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,321
  Likes Received: 22,168
  Trophy Points: 280
  Kanisa= tempeli (temple)
  sabuni= sopo (soap)
  wanyaki nadhani ndio watu wa kwanza kutohoa kutoka kwenye Kiingereza na kuingiza kwenye lugha asilia
   
 12. s

  seniorita JF-Expert Member

  #12
  Nov 9, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 674
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0

  Hapo red ndugu yangu. What makes us non-Bantu is because were are not....sio tu mundo ya sauti na maneno...it is that our languages are different totally.....in every lingusitc aspect with Bantu...There are many language families in Africa- Niger Congo of which the Bantu is th elargest group; Nilo Shalaran, Cushitic, Khosaic etc.....this is what identifies people to be who they are....sio sauti kwani sauti watu wanaweza kuiga
   
 13. b

  bpouz Member

  #13
  Nov 9, 2011
  Joined: May 26, 2008
  Messages: 36
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  pipi =sweet shuka=sheet kiukwel kabisa baadhi ya hayo maneno yametohoa kwenye kiingereza hii ni kutokana na muingiliano kati ya wanyakyusa na waingereza (wamissionary) walikuja kueneza dini hasa mbeya sehem za igale ndo wamissionary wa kwanza kuneza thehebu la pentecoste
   
 14. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #14
  Nov 9, 2011
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,543
  Likes Received: 2,258
  Trophy Points: 280
  Acha wajidai wanawake wakinyakusa watamu bwana asikwambie mtu na wakipenda wanajua mapenzi siyo wanyakusa wa maji chumvi hao ni wezi!!
   
 15. GAZETI

  GAZETI JF-Expert Member

  #15
  Nov 9, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 3,544
  Likes Received: 1,022
  Trophy Points: 280
  Ndyoko, ulikosea kuiweka MMU si unaona sasa imehamishwa sikuwa
  na nia mbaya na Thread yako.
   
 16. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #16
  Nov 9, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,752
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  umemuona eeeeee!
   
 17. Evarm

  Evarm JF-Expert Member

  #17
  Nov 9, 2011
  Joined: Aug 30, 2010
  Messages: 1,499
  Likes Received: 186
  Trophy Points: 160
  Lazima turinge na kujidai bwana, nahisi wazungu walikuwa wengi sana huku unyakyusani na ndo maana yakatokea haya!
   
 18. Ngambo Ngali

  Ngambo Ngali JF-Expert Member

  #18
  Nov 9, 2011
  Joined: Apr 17, 2009
  Messages: 3,194
  Likes Received: 135
  Trophy Points: 160
  Lugha yoyote hai lazima inakuwa na kukuwa kwa lugha ni kutohoa maneno ambayo awali hayakuwemo kwenye lugha husika na kuyaingiza kwenye lugha ili watumiaji waende sambamba na kukua huko.

  Chukulia mfano wai lugha ya kiswahili:

  shule........ kijerumani
  meza ........kireno
  mvinyo ......kireno
  chai .........kihindi/kichina/kituruki
  hela......... kijerumani

  Kwa maana hiyo hatuwezi kusema kuwa wanaongea kiswahili wanaringa, si kweli
   
 19. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #19
  Nov 9, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 279
  Trophy Points: 180
  shemeji salama lakini?
   
 20. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #20
  Nov 9, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 279
  Trophy Points: 180
  mkuu wala usijali, tuchape mwendo maisha yaendelee kamanda
   
Loading...