Wanaitwaje hawa kuku kwa Kiswahili?

Saiga yane

New Member
Aug 21, 2016
3
0
Heshima kwenu,

1: Wale kuku unaokuta hawana manyoya shingoni (necked neck)

2: Wale kuku ambo unaona kama manyoya yao yako upside down
 
1. Kuku asiye na manyoya shingoni anaitwa MANGISI
2. Asiyetaga huitwa KIWETO
3.Jike huita TEMBE
4. Bata dume GEGEDU
5. Ng'ombe asiye na mapembe GUNEGUNE
Kuku mwenye manyoya yaliyosimama nimemsahau nikikumbuka ntarudi jamvini kukujuza.
 
1.Kuku asiye na manyoya shingoni anaitwa MANGISI
2.Asiyetaga huitwa KIWETO
3.Jike huita TEMBE
4.Bata dume GEGEDU
5.Ng'ombe asiye na mapembe GUNEGUNE
Kuku mwenye manyoya yaliyosimama nimemsahau nikikumbuka ntarudi jamvini kukujuza.
Dah, safi sana mkuu
 
1. Kuku asiye na manyoya shingoni anaitwa MANGISI
2. Asiyetaga huitwa KIWETO
3.Jike huita TEMBE
4. Bata dume GEGEDU
5. Ng'ombe asiye na mapembe GUNEGUNE
Kuku mwenye manyoya yaliyosimama nimemsahau nikikumbuka ntarudi jamvini kukujuza.
... ndio asili ya neno la mtaani gegeda? Maana mabata kwa kugegedana yako vizuri haswa asubuhi yanapofunguliwa na jioni yakirudi mabandani yanaweza kukutia aibu kama uko na mkwe!
 
Back
Top Bottom