Clouds tunaomba mrekebishe tangazo lina makosa ya kimatamshi

nyumbamungu

JF-Expert Member
Mar 3, 2017
779
500
Kuna tangazo mnalolirusha mara kwa mara, katika tangazo hilo inasikika sauti inayoisifia utendajikazi redio yenu, binafsi hata mimi ni msikilizaji wa redio yenu.

Ila kwenye hilo tangazo inatamkwa Cloud, badala ya Clouds. Ingawa sio mtaalamu wa lugha nionavyo kuna tofauti ya Cloud na Clouds.

Ikumbukwe kuna wafanyakazi walipoteza ajira kwa makosa waliyoyaona kwao madogo lakini walivyohakiki vyeti, tofauti hizo zikawatoa kwenye ajira, mfano kwenye cheti linasomeka Kasimu, Vincent, Omari na kwenye nyaraka za ajira inasomeka Kassim, Vicent, Omary.
 
Ngareroo

JF-Expert Member
Aug 11, 2019
1,809
2,000
Hiyo ni sauti ya Mheshiwa Raid John Magufuli alipopiga simu kwenye kipindi cha Clouds 360 Clouds TV akisifia utendaji wao,,sasa apo huwezi kumwambia Rais kakosea kutamka Klauz yeye kasema Klaudi et kwamba arudie tena kupiga sim atamke kwa usahihi!!Na CMG wameichukua iyo na kuifanya Jingle coz inalia kila kipindi ili watu waone Clouds ilivo bora hadi Rais anawasifia...Over
 
kabadijunia

New Member
Jun 28, 2020
1
45

Fundisha jamii mdogo wngu.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom