Ni lugha gani ya Kimataifa ukijifunza na kuifahamu ni rahisi sana kupata fursa nchini?

Kifaru86

JF-Expert Member
Apr 22, 2017
1,734
3,802
Tofauti na Kiingereza hebu tusaidieni wandugu ni lugha gani ya kimataifa mtu akijifunza vizuri na kuifahamu hapa nchini.

Anaweza pata fursa ya kibiashara, kazi na mengineyo kwa wale wanaofahamu hebu nisaidieni katika hili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naunga mkono hoja kwa aliyesema kichina.. kwa sasa kuna miradi mingi sana ambayo wachina wanahusika na kumekua na mwingiliano mwingi sana kati ya wachina na mataifa ya afrika, kiingereza ni tatizo kwa wachina hivyo inapelekea kutokuelewana nyanja nyingi.. tumia kama fursa kujifunza ili upige mpunga...

Unajua mishahara wanayolipa wachina mkuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naunga mkono hoja kwa aliyesema kichina.. kwa sasa kuna miradi mingi sana ambayo wachina wanahusika na kumekua na mwingiliano mwingi sana kati ya wachina na mataifa ya afrika, kiingereza ni tatizo kwa wachina hivyo inapelekea kutokuelewana nyanja nyingi.. tumia kama fursa kujifunza ili upige mpunga...

Sent using Jamii Forums mobile app
Shukrani sana broo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ujuzi ndio kila kitu , hizi lugha zisikuumize sana , wewe ongea lugha unayo ijua wengine wata tafsiri

kIongOzI Wa BaaDae
 
Back
Top Bottom