Nimeshindwa kujifunza Lugha ya Kabila ambalo ni tofauti na langu

Wang Shu

JF-Expert Member
Feb 1, 2014
2,563
3,708
Jikinge na wakinge wengine Corona inazuilika.

Habarini...

Binafsi ninaelewa lugha ya kabila langu tu, japo nayo iyo siwezi kuzungumza lakini mtu akiongea naelewa vizuri sana.

Katika harakati za maisha kutembea uku na kule japo kidogo mikoa tofauti tofauti nimekutana na makabila mengi nikajifunza tamaduni zao.

Lakini pamoja kujifunza vitu vyote ivyo niliweka juhudi kwenye lugha zao tofauti tofauti lakini nimeshindwa kukalili lugha za makabila hayo lakini wakati nipo nao naishi nao naweza kuwaelewa lakini nikitoka basi ubongo unafuta kila kitu kuhusu lugha ile naanza kujifunza ingine sehemu ingine.

Ninakumbuka maneno machache sana kiasi hayanisaidii kuwasiliana na mtu kama tukikutana.

1. Wamasai nimeishi nao mpaka sasa nakumbuka neno 1 tu lakimasai japo liliwai kunisadia siku moja kupata punguzo la bei kwa mjasiliamali wa kimasai.

2. wahehe kutoka iringa zaidi ya salamu sikumbuki kitu.

3. Wamakua zaidi ya maana neno "Moro" hamna ninachokumbuka.

4. Wanyakusya nawasalimu Ugonile? Kwenye hii salamu angalau

5. Wangoni sikumbuki kitu.

6. Wakisi lugha yenu ni nyepesi kwa sababu inataka kufanana na ninayoijua lakini ata ivyo inanisumbua

7. Wachaga, 😂😂😂😂😂😂 nimeshindwa kabisaaaa ata kuifadhi ata neno moja ni ngumu achaaa.

Izo ni baadhi ya lugha nilizowai kujifunza nikashindwa.
 
7. Wachaga, nimeshindwa kabisaaaa ata kuifadhi ata neno moja ni ngumu achaaa.

Izo ni baadhi ya lugha nilizowai kujifunza nikashindwa.
Uliishaji ghete ube
 
Jaribu kisandawe utajuta kuzaliwa
 
Back
Top Bottom