Hello Jf,
Everyone has got something thrilling in life, to me is learning new language.
Recently I have becoming desperately of learning English language but unfortunately my settings are not...
Wakuu msaada, nahitaji sana kujua kizungu cha kusikiliza hasa cha kwenye movie za wazungu. Najua kusoma na kuandika kiingereza.
Mswahili mwenzangu pia akiongea kizungu naelewa kiaina, kimbembe...
Tumia Uzi huu kufahamu maneno au misamiati au misemo inayotumiwa na watu wa usalama kuwasiliana mfano mbele ya MTU kuna MTU na nyuma ya MTU kuna MTU.
Masnit signit sponsor namba moja nk ongezea...
I am looking for a "FLUENT ENGLISH SPEAKING PARTNER(S) "
Hello forum members, I hope you are doing great and those going through various challenges the Almighty God shall grant you strength...
Nyota ya Kiswahili imeendelea kuangaza Kimataifa baada ya Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) kuridhia Lugha hiyo kuwa moja ya Lugha zitakazotumika Rasmi katika...
A - a
-a prep. of.
-a baridi adj. cold.
abiria n. passenger.
-abudu v. worship; adore.
-a bure adj. free.
-acha v. cease; allow; leave; let go; abandon.
-achana v. leave each other...
"Maana ya Jina la Kichaga 'Monoruwa' – Msaada Tafadhali!"
"Habari zenu wana jamii!
Nina swali kuhusu jina la Kichaga 'Monoruwa'. Naomba mwenye ujuzi wa lugha ya Kichaga au historia ya majina...
Wanaosema hii lugha ilikuja na meli hawakukosea. Kuna maneno ya Kiingereza nilikuwa nayatamka visivyo kwa kipindi kireeefu. Nimekuja gundua baadaye nikajiona kilaza sana. Haya baadhi ya maneno...
Mfumo wa Serikali upo kwa Kingereza.
Documents za Serikali zipo kwa lugha ya kingereza. mimi kwa mtazamo wangu ni Bora tutumie Lugha ya kingereza ndiyo iwe Lugha ya Taifa.
Tuachane na...
(1) Cherehan - Charan Singh.
Inaarifiwa uyu ndo fundi nguo wa kwanza afrika mashariki na waswahili tukashindwa kutamka jina lake tukawa tuna litamka cherehani.
(2) Kariakoo - Carrier Corps...
Azam TV inawatangazaji mahiri sana wa mpira ila kinachosikitisha ni namna wanavyoamua holela kubadili maneno au matumizi ya maneno bila kujua athari zake.
Mfano walianza kuita mpira eti mali, na...
Zamani mimi nilikuwa najua neno tia linatumika bandarani tu(kutia nanga), baadaye nikaja kujua linatumika kama matusi pia, lakini kadri muda ulivyoenda nikaja kujua linatumika sana hasa na watu...
Wadau Repeat again sio sawa kabisa jihadhari na lugha za wakubwa duniani jifunze taratibu na usijaribu kutafsiri native language yako kwenda kimombo sio sawa kabisa
Watanzania tutofautishe na matumizi ya maneno international na overseas au abroad. International ni baina ya mataifa yote duniani ikiwamo Tanzania, usitumie neno international kama unataka kusema...
Chino kidd ameandika kwenye IG story yake kuwa anaumwa sana anaomba kuombewa sana ila sentensi ameandika kwa kingereza sijui cha wapi yaani ni broken broken english inasikitisha msanii mkubwa...