Tangu waandishi wa habari na watangazaji kupotea "disappeared in the thin" na kutosikika neno Ithibati likachipuka ghafla hasa wiki hii.
Licha ya utaalam wangu na uzoef Katika lugha hii kuntu...
It s not a competition but let us be entertained and entertain ourselves by debating . Other may also join but only english. Feel free and lets not be afraid of "kuchapia" as we did in in...
Swahili weekdays mostly follow a logical numeric pattern combined with the word ‘juma’ ( nadhani inamaana wiki au siku),
Jumamosi = first day
Jumapili = second day
Jumatatu = third day
Jumanne =...
Mambo vp wadau
Umekuwa ukitamani kujua/kujifunza lugha ya kifaransa? Karibu tuwe pamoja kwenye hii thread uweze kujifunza maneno mbalimbali ya lugha ya kifaransa.
Uliza swali lolote au neno...
Hivi ukiwa muislamu uliyesoma dini madrasa automatically unakuwa na uwezo wa kuzungumza Kiarabu kwa ufasaha na weledi? Unaweza kufika uarabuni mkazungumza na mwarabu mkaelewana vizuri au huwa cha...
Nimepata jirani mkongo ameni inspire LINGALA.
Ozali malamu- mambo vp?
Nazali kobela- naumwa
Kombo na yo- jina lako nani?
Bolingo na ngai- mpenzi wangu
Posa ya mayi- kiu ya maji
Muzina di tata...
Leo Julai 7, 2025, dunia inaadhimisha Siku ya Kiswahili Duniani kwa lengo la kutambua na kuenzi mchango wa lugha ya Kiswahili katika kuimarisha mawasiliano, utamaduni na mshikamano wa kijamii...
Habari wataalamu wa lugha.
Naomba kuondolewa utata kuhusiana na hili neno. Lipi ni sahihi "Hairisha" au "Ahirisha".
Maana siku hizi yanatumika yote na haieleweki lipi ni sahihi.
Kuna baadhi ya maneno ya kiswahili yamepotea ktk matumizi ya kila leo. Ni maneno ambayo wakati mwingine yanaachwa ilhali lilikuwa neno moja na kubadilishwa na sentensi.
Baadhi ya maneno...
Mimi, mmoja wa watumiaji na mdau mkubwa wa lugha ya Kiswahili na mpenda maendeleo ya lugha hii adhimu, ninaandika malalamiko haya kwa masikitiko makubwa juu kukosekana kwa kamusi mtandao ya...
Habari gani wana JF.
Wakuu nawakaribisha wale wote wanaojua kiswahili cha Kenya hasa misamiati wanayotumia wanapoongea, misemo yao pamoja na ule mchanganyiko wao wa maneno ya kiingereza na...
Wana bodi naomba kufahamu kuhusu neno hilo ambalo limekuwa likitumika hasa katika maandiko yanayohusu siasa, neno MEKO limekuwa maarufu hadi Twitter na platform nyingi za kisiada, Mara nyingi...
KAULI YA LEO
Neno 'SWAHILI' kimatamshi linaweza kutokana na 'ZIWA HILI' au likatafsiriwa 'SAWAHILI' kutokana na neno la Kiarabu 'SAHIL' linalomaanisha 'PWANI' likirejelea 'lugha', 'tamaduni' na...
Katika lugha za kiafrika,kijaluo ni lugha moja nzuri sana na naipenda sana.
Nilianza kuifahamu lugha hii nikiwa na miaka 20 na kwa kudra za Mungu,nilipata mtoto na dada mmoja anaitwa akinyi wa...
Bila shaka wengi wetu tunalifahamu na kulitumia neno/jina hili.Tupo tunaoamini kuwa neno hili lilichomoza tu na kupokelewa na jamii, na halikuwa neno/jina rasmi kabla kama ilivyo kwa baadhi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.