Anatafutwa mwalimu mahiri wa lugha ya Kikinga

yellowkid

Member
Jul 30, 2017
27
17
Anatafutwa mwalimu mahiri wa lugha ya Kikinga.

SIFA:
1. Ajue kuongea, kusoma na kuandika kikinga na KISWAHILI
2. Awe tayari kufanya kazi popote kwa muda wa miezi sita.
3. Umri kuanzia miaka 45-70
4. Awe amezaliwa, kuishi, na kusoma elimu ya msingi makete.

MALIPO:
Malipo ni maelewano: Atalipwa kwa Kila mwezi. Pia, atapata kiinua mgongo baada ya kumaliza mafunzo.

KAZI KAZI

N:B Uchaguzi umekaribia, tunahitaji kuomba kura kwa kikinga
 
Back
Top Bottom