Mfumo wa Serikali upo kwa Kingereza.
Documents za Serikali zipo kwa lugha ya kingereza. mimi kwa mtazamo wangu ni Bora tutumie Lugha ya kingereza ndiyo iwe Lugha ya Taifa.
Tuachane na...
Azam TV inawatangazaji mahiri sana wa mpira ila kinachosikitisha ni namna wanavyoamua holela kubadili maneno au matumizi ya maneno bila kujua athari zake.
Mfano walianza kuita mpira eti mali, na...
Zamani mimi nilikuwa najua neno tia linatumika bandarani tu(kutia nanga), baadaye nikaja kujua linatumika kama matusi pia, lakini kadri muda ulivyoenda nikaja kujua linatumika sana hasa na watu...
Wadau Repeat again sio sawa kabisa jihadhari na lugha za wakubwa duniani jifunze taratibu na usijaribu kutafsiri native language yako kwenda kimombo sio sawa kabisa
Watanzania tutofautishe na matumizi ya maneno international na overseas au abroad. International ni baina ya mataifa yote duniani ikiwamo Tanzania, usitumie neno international kama unataka kusema...
Chino kidd ameandika kwenye IG story yake kuwa anaumwa sana anaomba kuombewa sana ila sentensi ameandika kwa kingereza sijui cha wapi yaani ni broken broken english inasikitisha msanii mkubwa...
Nimekuwa nasikia na hata wakati mwingine kuyatumia maneno haya ila sasa napata shahuku ya kufahamu kama kuna uhusiano kwa maneno haya.
Mtu atasema "umeniachia msala" akimaanisha umemuachia...
Habari wadau wa jamvini,
Hope mnaendelea vizuri na mapambano ya kitaifa na uchumi wa kati.
Nilikuwa nataka kujua na kufahamu maana halisi juu ya huu msemo uliozuka wa kwa Mpalange.
Juzi kati...
Wahuni sio watuwazuri. Kitendo cha watu wa jinsi 2 tofauti kuungana kimwili ni kitendo chenyeraha isiyo kifani hasa ikichagizwa na miguno. Sasa sijui katokea mtu wapi huko eti anadai kitendo kile...
Habari wana JF? nahitaji msaada wa majibu katika mtihani huu kwa kiswahili. kiukweli mimi umenishinda kabisa ni mtihani wa online
1. Ipi kati ya chaguo lifuatalo inawakilisha njia sahihi ya...
Udelele ni mate mazito yanayomtoka mtu labda kama ni punguani au ana matatizo
Dovuo ni mate mazito yanayomtoka mtu akiwa usingizini, huwa yana harufu kali
Udenda ni mate yanayomtoka mtu kutokana...
Mwalimu na nguli wa lugha ya Kiswahili kutoka BAKITA Mzee Sigala anatuelezea maana halisi ya neno ngono
Je na wewe pia ulikuwa una elewa hivyo ukisikia neno ngono?
Soma pia: Ondoa Mikosi...
siku hizi mimi naona neno la jamaa. inaonekana neno ya jamaa kuna maana mengi.
1. Amekwenda kuwatembelea ndugu, jamaa na marafiki. Hapa jamaa ina maana watu ambao una mahusiano nao ya...
Kuna huyu bwana mdogo J. Nkumbi nimepata kumfuatilia siku 2 tatu hizi nimefurahishwa sana na maneno yake.
Kwa kweli kiswahili ni lugha nguvu kuliko hata kimombo ila huyu bwana mdogo anakipiga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.